African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
Kwa mara ya kwanza nimeona Kikwete akizungumza kama rais. Akihutubia mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wa polisi iliyofanyika Moshi Kikwete amewataka maofisa hao kurudisha imani kwa wananchi kwa kuwaondoa wahuni,majambazi na wala rushwa ndani ya jeshi la polisi. Amekwenda zaidi kutaka aliyeingia Pub Albeto na bunduki atimuliwe!. Mimi najiuliza alikuwa wapi Kikwete siku zote?hivyo ndivyo rais anavypaswa kuwa. Naunga mkono hoja
Source: Mwananchi
Source: Mwananchi