naulizia gharama za kumkaribisha prince charles nchini.

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
kwa wale mabush lawyers mimi nikiwa mmoja wao tungeomba ufafanuzi wa gharama ambayo taifa letu limeingia kwa shughuli nzima ya kumkaribisha prince charles.nataka kufanya mlinganisho ili tujue tumetumia kiasi gani na tunategemea kufaidika kwa kiasi kipi kutokana na mualiko huu.tukijenga utamaduni wa kuulizana maswali ya msingi kama haya tutafanikiwa kujua ni jinsi gani tunaweza kutumia fedha kidogo tulizonazo kwa manufaa ya taifa letu.
nawasilisha.
 
Back
Top Bottom