D DAVIES JF-Expert Member Nov 21, 2011 515 90 Dec 23, 2011 #1 Yeyote anayefahamu kwa undani GNLD Inahusika nanini??
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,176 Dec 23, 2011 #2 dawa, virutubisho, sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi n.k
Mwita25 JF-Expert Member Apr 15, 2011 3,831 1,165 Dec 23, 2011 #3 kongosho said: dawa, virutubisho, sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi n.k Click to expand... Sijaelewa umeandika nini. Sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi????????????
kongosho said: dawa, virutubisho, sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi n.k Click to expand... Sijaelewa umeandika nini. Sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi????????????
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,176 Dec 23, 2011 #4 Mwita25 said: Sijaelewa umeandika nini. Sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi???????????? Click to expand... sabuni na kugawana hela kama utaingiza new members wapya wengi huelewi? Bora umerudi huku upate kichuri na kirunguri brain irudi mahali pake
Mwita25 said: Sijaelewa umeandika nini. Sabuni mara kugawana hela ukiingiza watu wengi???????????? Click to expand... sabuni na kugawana hela kama utaingiza new members wapya wengi huelewi? Bora umerudi huku upate kichuri na kirunguri brain irudi mahali pake
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,164 Dec 23, 2011 #5 wanauza dawa mbalimbali na suppliments kwanini usi-google upate taarifa zake?
Jeji JF-Expert Member Jun 28, 2011 1,975 371 Dec 23, 2011 #6 wana bidhaa za afya, ngozi, usafi, kupunguza mafuta mwlini na bidhaa za mimea.
D DAVIES JF-Expert Member Nov 21, 2011 515 90 Dec 23, 2011 Thread starter #7 Nashukuruni wote angalau nimepata idea maana nimeona gazeti moja la kenya likionesha members walivyo tajirika na GNLD Mpaka wanamiliki ndege si utani
Nashukuruni wote angalau nimepata idea maana nimeona gazeti moja la kenya likionesha members walivyo tajirika na GNLD Mpaka wanamiliki ndege si utani