Nauliza hivi...

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
31
Hivi madoctor mwanamke anaruhusiwa kufanya mapenzi baada ya kujifungua? yaani kwa mwanamke aliyejifungua kwa njia ya kawaida na atajuaje kwamba amepona?
 
unaruhusiwa kufanya mapenzi baada ya kujifungua.
swali lako la msingi ni BAADA YA MUDA GAN AFTA KUJIFUNGUA UNAWEZA KU DO?
inategemea...wengine afta siku 4 wengine 40 wengine miezi miwili na wengine wanakwambia afta brid kuisha.

ehh long time tulikuwa na majiran walinzi wa shamba mama na babaMEMBE...sasa baba membe alikuwa anamzalisha mamamembe kila mwaka yaan mwaka huu ana shija,mwakan kija,membe,masanja....sasa yule mamamembe alikuwa analalamika et ...yaan babamembe jjjana kantoboa(kanitia) uku madamu yanatoka ..iyo ngoma ni 2days afta mama membe kujifungua....u can imagine....


mi nazan afta miezi miwili ivi kistaarabu lakin km una haraka sana arobain ikiisha ahh njunju km kawa..wewe tu jipimie na stamina yako ilivyo
 
unaruhusiwa kufanya mapenzi baada ya kujifungua.
Swali lako la msingi ni baada ya muda gan afta kujifungua unaweza ku do?
Inategemea...wengine afta siku 4 wengine 40 wengine miezi miwili na wengine wanakwambia afta brid kuisha.

Ehh long time tulikuwa na majiran walinzi wa shamba mama na babamembe...sasa baba membe alikuwa anamzalisha mamamembe kila mwaka yaan mwaka huu ana shija,mwakan kija,membe,masanja....sasa yule mamamembe alikuwa analalamika et ...yaan babamembe jjjana kantoboa(kanitia) uku madamu yanatoka ..iyo ngoma ni 2days afta mama membe kujifungua....u can imagine....


Mi nazan afta miezi miwili ivi kistaarabu lakin km una haraka sana arobain ikiisha ahh njunju km kawa..wewe tu jipimie na stamina yako ilivyo

safi mdada!!!
 
Asante kwa ushauri wako mzuri, really you are a great thinker.
 
Kuna imani potofu imejengeka kwa watu kwamba mwanamke asikutane na mume wake baada ya kujifungua kwa miezi 6 eti wasije "wakam-bemenda" mtoto. Hii ni imani potofu sana.

Mwanamke anaweza kujamiiana na mwanamume baada ya kujifungua as long as anajiona anaweza/yupo sawa. hakuna uhusiano wowote ule wa kujamiiana na kunyonyesha mtoto.

I did some research na kugundua wenzetu wamefika mbali hadi kuunganisha kuzaa (yaani wanakaa miezi 3 tu after kujifungua na kubeba mimba nyingine ili walee pamoja, na wengine wakijifungua mtoto wa pili anaendelea kunyonyesha na mtoto wa kwanza.

Its all depend na mipango yako, la msingi angalia usibebe mimba tu kwani unakuwa bado haujarudi kwenye mzunguko wako wa kawaida.
 
Back
Top Bottom