Nauli mpya za daladala zimeifanya shilingi 100 kugeuka dili

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,287
7,388
Habari wakuu,

Tangu walipotangaza mabadiliko ya nauli za daladala imekua ni kero kwenye kila daladala. Mtu ukipanda wakati wa kutoa nauli lazima konda akuulize una sh 100 hapo?

Au wakuu nyie mna magari binafsi hili swala hamna taarifa nalo?



Anyway Happy new year 2024 Ukawe mwaka wa neema na baraka
 
Tsh 100 imeleta kizaazaa
Watu washapasuana kwa ajili
Ya 100
Watu washatukana sana ndani ya bus
Kwa ajili ya 100
Inshort 100 imeleta kizaazaa

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom