NATO: Vita ya Urusi na Ukraine inaweza kudumu miaka kadhaa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameonya kuwa Vita kati ya Urusi na Ukraine inaweza kuendelea kwa miaka kadhaa, ikielezwa Vikosi vya Urusi vinazidisha mashambulizi dhidi ya Ukraine eneo la Mashariki mwa nchi hiyo

Amesema Mataifa yanatakiwa kuendelea kuisaidia Ukraine hata kama gharama ya kufanya hivyo ni kubwa sio tu katika kuliwezesha Jeshi, bali hata kwasababu ya ongezeko la bei za Vyakula na Nishati

=======

The war in Ukraine could last for years, the head of NATO said on Sunday, as Russia stepped up its assaults after the European Union recommended that Kyiv become a candidate to join the bloc.

Jens Stoltenberg said the supply of state-of-the-art weaponry to Ukrainian troops would boost the chance of freeing its eastern region of Donbas from Russian control, Germany's Bild am Sonntag newspaper said.

"We must prepare for the fact that it could take years. We must not let up in supporting Ukraine," Stoltenberg, the secretary-general of the military alliance, was quoted as saying.

"Even if the costs are high, not only for military support, also because of rising energy and food prices."

British Prime Minister Boris Johnson, who visited Kyiv on Friday, also spoke over the weekend of a need to prepare for a long war.

This meant ensuring "Ukraine receives weapons, equipment, ammunition and training more rapidly than the invader", Johnson wrote in an opinion piece in London's Sunday Times.

"Time is the vital factor," he wrote. "Everything will depend on whether Ukraine can strengthen its ability to defend its soil faster than Russia can renew its capacity to attack."

Speaking to reporters on Saturday, Johnson stressed the need to avoid "Ukraine fatigue". With Russian forces "grinding forward inch by inch", allies must show the Ukrainians they were there to support them for a long time, he said.

Source: Reuters
 
Hapana walisema ni ops ya 24hrs tuu
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
Au China wamempatia Urusi, silaha za kupigana miaka
 
Putin shikilia hapo hapo mwaka wao huu kula nyasi na wakimbizi walitudharau waafrika.
 
Urusi anafahamu adui yake ni NATO sio Ukraine na ndio sababu bado anasema wanafanya Operation Ukraine

Vita inawasubiri 'wenye Mwali' na wenyewe wameshajua

Sasa hivi Russia inateswa na vikwazo na NATO wanateswa na Inflation na mdororo wa uchumi

yaan kama ni ndoa tunasema Bibi Harusi Malaya, Bwana harusi Malaya, Mshenga Malaya na Somo ya Bi harusi Malaya
Vip tena jaman , walisema Urusi wameishiwa silaha
 
Urusi anafahamu adui yake ni NATO sio Ukraine na ndio sababu bado anasema wanafanya Operation Ukraine

Vita inawasubiri 'wenye Mwali' na wenyewe wameshajua

Sasa hivi Russia inateswa na vikwazo na NATO wanateswa na Inflation na mdororo wa uchumi

yaan kama ni ndoa tunasema Bibi Harusi Malaya, Bwana harusi Malaya, Mshenga Malaya na Somo ya Bi harusi Malaya
Sahihi kabisa jana London wameandamana bei ya vitu iko juu
 
Back
Top Bottom