Natangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iramba mashariki.

Huduma muhimu kwa jamii kama afya, maji, barabara ni duni mno.
 
Mbunge wa sasa Salome D. Mwambu hajafanya chochote na hakubaliki
 
Utaweza kumtoa Mnyisanzu JF kwenye kura za maoni?plz CDM ni demokrasia tu hakuna uchawi, mambo ya kurogana kama akina Msindai hatutaki
 
Mzee mgana izumbe msindai anataka kutetea kiti chake ,na je unapesa za kuhonga icho kijitume chao cha uchaguz0
 
Ongea na Mnyika atakusaidia ushauri maana nayeye alituahidi wana ubungo umeme,maji na barabara.

Mkuu wewe na ahadi zako za Shelui vipi, umeishia kuwagawia mipira tu unadhani Iramba ni Azam FC, Ule mtambo tajwa na Kamanda Marando umefanikiwa kuuficha vizuri, msalimie sana Joshua
 
Ongea na Mnyika atakusaidia ushauri maana nayeye alituahidi wana ubungo umeme,maji na barabara.

Hupati usingizi kila fikra ni mnyika tu, ulipokuwa unapiga mawe mzinga wa nyuki ulifikiri nyuki wanabusu eee!! muombe mbunge wako mdee akuombee msamaha
 
Hupati usingizi kila fikra ni mnyika tu, ulipokuwa unapiga mawe mzinga wa nyuki ulifikiri nyuki wanabusu eee!! muombe mbunge wako mdee akuombee msamaha

Muuulize pengine Ubungo ana nyumba ndogo......maana huyu jamaa nasikia Iramba kila kata ana ka-gule,huyu jamaa ni tatizo bungeni na kwenye majumba ya watu
 
Muuulize pengine Ubungo ana nyumba ndogo......maana huyu jamaa nasikia Iramba kila kata ana ka-gule,huyu jamaa ni tatizo bungeni na kwenye majumba ya watu

nimetonywa mganga/mchawi wake akiitwa midindio, kesha kufa ndio maana misukosuko ya kisiasa inamwandama, yule wa korogwe anaonekana kushindwa, silaha pekee anayoitumia ni mlungula!!!!
 
SINGIDA
WILAYA YA IRAMBA
IRAMBA MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SALOME DAUDI MWAMBU
CCM
25,80974.56
KULAYA PHILIPO ARON
CHADEMA
6,67819.29
NEEMA STEPHANO MLAU
UPDP
6952.01
SPOILT VOTES1,4354.15
TOTALS34,617100
Huyo jamaa aliyekuwa wa pili unamuonaje?unadhani hafai kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CDM?

Vijana hawakupiga kura 2010. 2015 itakuwa timbwili timbwili!
 
Back
Top Bottom