Makubwa!!
wewe huyo anakaba mpaka 'penati', nakuonea huruma coz ur wish iz yeyukaring.....lol!
Mimi na Husninyo,Fborn na Afrodenci,Mr Rock na Faiza Foxy,ingependeza sana!

Haya mkuu yaani hii weekend itabidi unione kwanza

Gurta na Asha D!hapo sawa sawia
Nini tena??

Na mimi jamani mbona mmenitenga
Na mimi jamani mbona mmenitenga
anakaba mpaka penat? Kivip? Nieleweshe basi rafiki. Isije ukawa unamwonea wivu.
Akhaaa! Sina wivu mie! We subiri tu aje utajionea mwenyewe, hatakagi kumwacha hata sekunde! Labda kwako itatokea....lol! Ha ha ha haaa

First Born yaani kuanzia kwa Ashadii, Husninyo na Afrodenzi ukiwahitaji you have to seek permission from me otherwise you are doomed.
Usjali..
Guest NO.1 = ADI
Au njoo mapema unisaidie na msosi lol
yaani unafurahia wakt timetable yenyewe inaonyesha wazi tutakuwa kama wawili, sijamwona FF, Nahisi yuko bize na jyf, sijamsikia bibie husn afu afro ndo hivyo tena anataka akwepe, nwy usijal.
First Born yaani kuanzia kwa Ashadii, Husninyo na Afrodenzi ukiwahitaji you have to seek permission from me otherwise you are doomed.l
Gurta na Asha D!hapo sawa sawial
nashangaa!!!
AfroD...
JF ina mambo!!
Hata we unavituko ...??