Natamani weekend hii ningetoka na AshaDi, afrodensi, Husninyo au Faiza Foxy!!

EHH!

Asha D alishasema ana mume wake! je utamuombea ruhusa kwa mumewe..?

faiza fozxy ana gozi.. wenyewe wana miaka 40 ya ndoa... je utaliomba ruhusa gozi utoke na mkewe

husninyo & AD ... sina uhakika...

week end njema Mkuu!!!!

Namaste Viper... Nimesha mtonya... bora hata ange pm... hata

hubby nikimwambia nimemkaribisha fellow jf member asingemaindi....lol

off thread: Hujanipa progress... anything new... au ndo unasubiri jina ya something new??
 
jamani sumu kidogo, hubby apunguze wivu kama anayo, just enjoyng da bata.
 
Karen_H hua nakuona kwa adimu saana... na nikikuona hua nafurahi... don't know why... But please enyoy pia na weekend njema.

Thanks so much my dear AshaDii for the kind and sweet words! I am happy to hear that!
Have a blessed weekend!
 
FB bana... ngoja ni m-pm AD au Husny maana

naamini ka vile this weekend wako idle kidogo...

BTW Karibu Iddi (ila sasa hii thread itanifanya niombe

kwanza ruhusa kwa shemejio) wewe kuweza kubalika home...lol

Dah jamani ndo kama hivo idd natamani kuja lakini bosi kasema amenipangia overtime, so nahisi kama imekula kwangu.
 
umenikwaza kwa kumtaja jina mchumba wangu.nahisi unataka kuninyang'anya.kimeshanuka tayari.
 
Namaste Viper... Nimesha mtonya... bora hata ange pm... hata

hubby nikimwambia nimemkaribisha fellow jf member asingemaindi....lol

off thread: Hujanipa progress... anything new... au ndo unasubiri jina ya something new??

namaste DIDI... hahaha yani hubby atakuachia hivihivi utoke na " Avatar " lol ... hehe badobado kwanza, nasubiria jina ya something new! vipi wewe upo poa lakini.. mfungo wasemaje.. mi jukwaa la sports limeteka kule basi dah.. ntakuwa nakucheki pande hizi..
 
WaPM bila shaka hutakosa mmoja wa kukupa green light. Bt kumbuka wanaweza kuwa in relationship so wakawa busy na wenzao.

All the best!
 
WaPM bila shaka hutakosa mmoja wa kukupa green light. Bt kumbuka wanaweza kuwa in relationship so wakawa busy na wenzao.

All the best!

hao wa siku zote watakuwa wamezoeleka, mi ni mpya, so nitapendwa zaidi.
 
namaste DIDI... hahaha yani hubby atakuachia hivihivi utoke na " Avatar " lol ... hehe badobado kwanza, nasubiria jina ya something new! vipi wewe upo poa lakini.. mfungo wasemaje.. mi jukwaa la sports limeteka kule basi dah.. ntakuwa nakucheki pande hizi..

Viper leo nipo briefly pal... kidogo sipo kivile... Something new na ku pm which hopefully utafayia kazi within a week.. Mfungo upo pouwan, inshallaha namshukuru Allah... Dah! kuhusu sports will have to start raising some interests.. maana i am the only person i know ambae sports imempiga chenga....lol.. Niambie vipi umesha master chess?? (Hii topic haina la ziada... i think we are allowed extra ingredients...lol)
 
umenikwaza kwa kumtaja jina mchumba wangu.nahisi unataka kuninyang'anya.kimeshanuka tayari.

ahaaa! Kama ni mchumba basi tutamtaka atoe msimamo wake, akisema anakutaka wewe mi nitamtoa tu out na kumrudisha salama.
 
Back
Top Bottom