Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!
.samsingi ipi wakati siku hizi kitu ni two in one......
.yelewiiiiiii
mnataka kutoana roho kwa bei chee hivi?