Natamani "Wachina" wangegundua..

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!
 
rahisiii sanaa zamani babuu yangu alinifundishaa,kwa wao walikuwa wakitaka kujuaa bibii ka duu njee...akirudi jioni alipo tokaa bibii ana mpaa ugorooo then bibi anakuwaa uchii,akipigaa chafiaa lazimaa kama alitoka kugonokaa lazimaa kulee chini kutokee ulee uchafu.
 
Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!

samsingi ipi wakati siku hizi kitu ni two in one......
 
Dawa za kugundua kuwa mpenzi wako anakusaliti zipo ila zile za asili. Kama unahitaji niandikie Private Message nitakujulisha wapi zinapopatikana.
 
Natamani mchina angegundua njia rahisi ya kudesa kwenye pepaz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom