Natamani Rais wangu awe anaongozana na watoto wake wote kama Rais Obama

Status
Not open for further replies.

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote.

Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi anaotuongoza kuiga mfano wake wa kuzijali familia zetu. Hii itapunguza wanaume wengi kukimbia wake zao na kutelekeza watoto.

Ni mtizamo tu wanaJF.
 
Pia ulikuwa unaguswa na Bill Clinton alipokuwa anaongozana na Chelsea? Na George W. Bush alipokuwa anaongozana na Jenna na Barbara?

Au ni Obama tu ndiye anakugusa? Maana hata hao waliomtangulia pia walikuwa vivyo hivyo na wana wao...
 
Wale watoto wadogo wa Dr Dr Dr Kikwete ni vibonge hao, sidhani kama kuna raha kuongozana nao. Noma ni pale akiamua kuwabeba na wale wa nje
 
Mim natamani riz 1 apige picha na obama kama alivyopiga na xi jinping wa china
 
Ndugu yangu, jamaa ana watoto wengi kama darasa. kwa kodi zetu nadhani atatumaliza!
 
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote.

Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi anaotuongoza kuiga mfano wake wa kuzijali familia zetu. Hii itapunguza wanaume wengi kukimbia wake zao na kutelekeza watoto.

Ni mtizamo tu wanaJF.

Raisi wako yupi? slaa?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote.

Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi anaotuongoza kuiga mfano wake wa kuzijali familia zetu. Hii itapunguza wanaume wengi kukimbia wake zao na kutelekeza watoto.

Ni mtizamo tu wanaJF.

Wewe ndio Mara ya kwanza kusoma safari za Rais OBAMA? hii trip kaja na watoto ni kwasababu shule ziko likizo angesemwa kweli kutumia pesa za walipa kodi; kwanza amezuiliwa kutembelea Mbuga za wanyama

Na kwanini haukuongelea wakati BUSH alipokuja hakuleta watoto wake

Watanzania ni lini tutastaarabika na kuwa na uwelewa wa mambo ya dunia kuliko kuparamia MITI??? Na Unajiita BROOKLYN
 
Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote.

Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi anaotuongoza kuiga mfano wake wa kuzijali familia zetu. Hii itapunguza wanaume wengi kukimbia wake zao na kutelekeza watoto.

Ni mtizamo tu wanaJF.

Watoto NANE(nao wana watotoi) na ile gulfstream? Itabidi tuwe nazo mbili!
 
Mhh... Mkuu huo ni ukorofi si watakua wanafuatana "kama nyuki"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbona watoto peke yao watajaza ndege ya serikali? Huyu kwa Nyamubi, huyu kwa Asas, huyu kwa nyumba ndogo Mkwajuni, ....hata wengine hawajui majina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom