KICHUMVI
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 113
- 14
- Thread starter
- #21
ha!ha!ha! Pouwauwezi fundisha samaki ogelea wew...
Mara tatu kakufanya bado unasema,we ndo ulimfundisha..?
We unataka jamaa aseme demu wake malaya..?kila mtu lazima ajivunie alichonacho...
Acha ushamba kaka,ikiwa ww ulitendwa mara 3 itakuwa mchz ukiweka picha..?nae ataesabu ya kwanza..
Chukulia pouwa ndo ilivyo hyo..