Natamani kwenda Movenpick!

Watanzania tunapenda kulalamika hovyo. Tunategemea kuishi kwa kupewa fadhila.

Kila mmoja akijituma kwa nafasi yake, Tanzania itafika mbali sana. Kama hamuamini nyie endeleeni kulia lia, unategemea serikali ije nyumbani kwako iondoe shida ulizo nazo. Mtangoja sana.
 
Back
Top Bottom