Natamani kuzimia lkn sizimiii

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Jaman!

Baada ya kuja na visa vyangu vingi kipindi cha nyuma,nilipata mpenz mwingine ambaye tulipendana kupita kiasi,ila kibaya alikua nimwepesi kukasirika,hata kosa dogo analikuza na mm nilikuja kujua anakua hivyo kisa maumbile yake ni madogo uzuri alikua anajitahidi sana na nnlikua nnatosheka kabisa.

mm huwa napenda mazoezi,siku nikamwambia nataka nianze mazoezi akakubali baada ya kujiandikisha na kulipa ada akaanza visa mara ooo hamna kwenda gym, au chaga gym na mm,

Mara ya pili amesafir napiga cmu anaanza gomba unapiga cmu asubuhi nimellala,.nikamwambia sasa nisipokupigia ww nntampigia nani?au unataka nitafute wakumpigia coz c mara ya kwanza kuniambia hivyo.

Baadae akanipigia cmu mchana tukaongea vizur.nikampigia jioni hakupokea cmu mpaka leo,then ananiambia niandike sms tu tena anazijibu chache anazojisikia.

Jaman nnapata shida kwann mimi tu!

Mwenye dawa ya mapenzi aniambie mbona mie nnaumia kila mara
 
Dawa ya mapenzi ni wewe mwenyewe. . .tatizo ni kwamba unaweza ukawa sio dawa sahihi kwa ugonjwa wake (uhitaji wake wa mapenzi.).

Inaonekana mahusiano yenu sio mazuri na hayo madogo yaliyopo hamuyafurahii. Mkalishe chini umwulize kisa cha kukukataza kwenda gym. Akishakuambiwa na wewe mpe sababu za wewe kwenda na akuachie uende kwasababu ni faida zaidi kuliko kutokwenda hivyo hamna haja ya kukomoana hapo.

Pili ongea na kuhusu swala la mawasiliano. Kwasababu ni vizuri kumwelewa mwenzako na kujua yale anayotaka/hitaji toka kwako muulize anatakaje...na wewe umweleze unatakaje mfikie makubaliano. Kucompromise muhimu. Alafu uache kumuuliza maswali ya kijinga kama "au nitafute wa kumpigia?" nyie kama sio watoto acheni kukomoana kama watoto, pengine unapenda sana kauli za hivyo na ndio maana anajiweka mbali.

Ukiona hamuelewani lugha call it a quit. . .usije ukapoteza muda na mtu anbae hana hisia na wewe.
 
Mmmh some men simple do not respect woman. Show him the door

Huyo muoneshe mlango alioingilia ndo autumie kutokea.......kama mwanaume hata nirespect achape lapa bana! karne ya 21 bado wapo wanaume wanaowadharau wanawake? achana nae mwaya
 
Kwa alama za nyakati zinazozijua mimi, mwanaume hawezi kukupa masharti usimpigie simu asubuhi eti kisa kalala, sijui mara hapokei eti umtumie sms( exceptional to meeting & official matters within a reasonable time)! Otherwise.....kuna mwenzako au uniambie wewe ni mpango wa kando!
 
wewe ni pm nikupe mapenzi ya motomoto hutamkumbuka tena huyo jamaa yako.
Jaman!

Baada ya kuja na visa vyangu vingi kipindi cha nyuma,nilipata mpenz mwingine ambaye tulipendana kupita kiasi,ila kibaya alikua nimwepesi kukasirika,hata kosa dogo analikuza na mm nilikuja kujua anakua hivyo kisa maumbile yake ni madogo uzuri alikua anajitahidi sana na nnlikua nnatosheka kabisa.

mm huwa napenda mazoezi,siku nikamwambia nataka nianze mazoezi akakubali baada ya kujiandikisha na kulipa ada akaanza visa mara ooo hamna kwenda gym, au chaga gym na mm,

Mara ya pili amesafir napiga cmu anaanza gomba unapiga cmu asubuhi nimellala,.nikamwambia sasa nisipokupigia ww nntampigia nani?au unataka nitafute wakumpigia coz c mara ya kwanza kuniambia hivyo.

Baadae akanipigia cmu mchana tukaongea vizur.nikampigia jioni hakupokea cmu mpaka leo,then ananiambia niandike sms tu tena anazijibu chache anazojisikia.

Jaman nnapata shida kwann mimi tu!

Mwenye dawa ya mapenzi aniambie mbona mie nnaumia kila mara
 
Thanks Lizzy. Hapa umekuwa yourself na kama ingekuwa natoa grades ningekupa +. Asha Dii na Lizy wote nawaomba samahani kutoka thread ile nyingine.
 
Kwanini usianze wewe kumPM ili umuonyeshe hiyo njia ya mapenzi moto moto!
Kakondoo naomba uniPM!!

@Dr. . . Asante Doc and uhhh you are forgiven. Nimeona ulichoandika baada kimenipendeza, japo ulichoandika kabla bado hakijaniingia.
 
Mbona tunafikiria tu maumbile madogo ya kiume? Inawezekana ya kike ndiyo makubwa ndiyo maana jamaa anang'aka!
 
kama kweli una nia ya kupata mchumba wa kukuoa usiwe mwepesi wa kuwavulia hao wanume maana wakishaonja hawana mpango tena,huyo kaka ana mke mwingine ndio mana ule muda anaokuwa nae hataki awasiliane nawe.Usiwe na hofu ya kukosa mume eti tu kwa sababu unahofia atakuacha kama utamnyima.heri uchumba uvunjike na sio ndoa,maama sisi wakristo ndio ni mume na mke mmoja t haid kifo kiwatenganishe.Mimi nilifanya hivyo na hatimae sasa hivi nina mke na tunapendana sana.
 
Hawa wanaume mnawatoa wapi?Hebu nipm nikuoneshe raha ya dunia we bint!
 
Jaman!

Baada ya kuja na visa vyangu vingi kipindi cha nyuma,nilipata mpenz mwingine ambaye tulipendana kupita kiasi,ila kibaya alikua nimwepesi kukasirika,hata kosa dogo analikuza na mm nilikuja kujua anakua hivyo kisa maumbile yake ni madogo uzuri alikua anajitahidi sana na nnlikua nnatosheka kabisa.

mm huwa napenda mazoezi,siku nikamwambia nataka nianze mazoezi akakubali baada ya kujiandikisha na kulipa ada akaanza visa mara ooo hamna kwenda gym, au chaga gym na mm,

Mara ya pili amesafir napiga cmu anaanza gomba unapiga cmu asubuhi nimellala,.nikamwambia sasa nisipokupigia ww nntampigia nani?au unataka nitafute wakumpigia coz c mara ya kwanza kuniambia hivyo.

Baadae akanipigia cmu mchana tukaongea vizur.nikampigia jioni hakupokea cmu mpaka leo,then ananiambia niandike sms tu tena anazijibu chache anazojisikia.

Jaman nnapata shida kwann mimi tu!

Mwenye dawa ya mapenzi aniambie mbona mie nnaumia kila mara

Chapa mwendo, mwache atatufe wenye maumbile madogo wenzie. Halafu na wewe acha papara kwani lazima uwe na boyfriend. Kaa utulie kwanza ujiulize kwa nini yanatokea kwako.

Yangu ndo hayo siyo lzm uyafanyie kazi.

CD
 
Back
Top Bottom