segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 260
..eti kwanini wewe,sa ulitaka yampate nani?..kifupi uko ivo kwasababu umetengeneza ivo,angalia njia na mtindo wa maisha yako kuna sehemu umetengeneza TABIA ambayo ndo tatizo la haya yakupatayo sasa,huyo jamaa bado anakupenda/kukuhitaji bt tatizo kashindwa kukueleza wazi kinachompa shida toka kwako..afu next tm muwe mnaandika na sehemu mlizokutania kama ni baa,kanisani,shule,kazini,safarini n.k ili kutupa wepesi wa kutoa maushauri yetu..