Natamani kuskia cheche za mbunge wangu jembe Joshua Nassari mjengoni ....

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
Habari za Ijumaa waungwana,

Nauliza, hivi ni mimi tu ndo sikupata bahati ya kusikiliza kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu bungeni Alhamisi jana, ama ni kweli kwamba jembe langu Joshua Nassari (MB) ndo hajaunguruma bado dhidi ya Waziri Mkuu, maana kama nakumbuka vema wiki iliyopita nilimnukuu mbunbe wangu jembe akisema aliamka saa 12 asubuhi kuwahi kujiandikisha jina kwa ajili ya kumsulubu Waziri Mkuu lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupata nafasi hiyo ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom