Natamani kuiona Serikali ya CCM yenye KASI na VIWANGO

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Kwa wale tu wapenda mabadiliko yenye tija, kilichobakikwa sasa ni kuendelea kumwombea afya njema Dr. John Joseph Pombe Magufuli (MKEMIA), ili MwenyeziMungu amfikishe kwenye kilele cha ndoto yake ya kuwa RAIS wa awamu ya 5.

Dalili zote za ushindi zipo wazi. Hivyo, Dr. JJPM-MKEMIA wakati unamalizia kampeni, tunayo imani ya kwmba unaendelea kufikiria safu yako ya viongozi wenye KASI YA AJABU NA VIWANGO lakini pia wenye kuzingatia UTAWALA WA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU.

Tutafurahi kuona CCM isiyokuwa na wachumia tumbo, wapiga deal, waporomosha matusi, pia isiyokuwa na watu wenye kuhubiri udini, ukanda na ukabila. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom