Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

chama mpangala

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
508
704
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo.
Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani.

Nimewaza sana nimeona hii ni fursa nzuri sana ukifungua Ofisi maeneo yenye Vijana wengi. Ofisini panakuwa na ukumbi mdogo tu wenye Tv zako kadhaa unaonesha mpira Bure kuvutia wateja, pembeni ya Ofisi unafungua Duka la vinywaji Bariadi na kijiwe cha chips. Au kijimgahawa tu.
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom