Natamani kuacha kumcheat mke wangu

Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .

Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni kama namdhalilisha hivi na kila nikipanga mission inafeli,wakuu natamani nisishawishike kabisa yani nisijihusishe na mapenzi nje ya mke wangu lakini kimbembe vishawishi vingi kwa nature ya mahali pa majukumu yangu,msaada jamani nafanyaje niwe mmoja ya wanaume waaminifu kwenye ndoa zao....

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Be a good man na kuwa makini sana,unaweza kuharibu familia yako kwa ushauri wa wengi ambao unajengwa juu ya hisia na mitazamo hasi(imagination) ambapo watu wengi wanaamini haiwezekani kubaki muaminifu kwenye ndoa kwa wenzi kama wako mbali.Kama mke anafanya au hafanyi huko aliko sio sababu ya sisi kukwambia wewe fanya,no.Amini hafanyi na wewe usi m-cheat,majaribu yapo lakini yapasa kuyashinda na yapo kila mahali.Linda hisia zako kwa mwenzi wako.
Let life goes na kama mna imani msiache kumcha Mungu na kumtegemea vinginevyo jamaa anaitwa shetani yeye kitu kinaitwa familia anaki battle haijawahi kutokea.

Back
Top Bottom