Natamani kuacha kumcheat mke wangu

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .

Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni kama namdhalilisha hivi na kila nikipanga mission inafeli,wakuu natamani nisishawishike kabisa yani nisijihusishe na mapenzi nje ya mke wangu lakini kimbembe vishawishi vingi kwa nature ya mahali pa majukumu yangu,msaada jamani nafanyaje niwe mmoja ya wanaume waaminifu kwenye ndoa zao....

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Nipo mkoani namla mkeo.
 
Acha kuuteza uboo,kwani unafikiri yeye hagongwi huko Aliko,nature ina nguvu Sana,vile.wewe unajsikia ashamed na yeye vile anajuta toka asubuhi,jitahiti update wa kumla bila attachment,life is too short,kula bila kujipa masharti,usifungamana na mtu,gonga kitu unamlipa na mwambie from now.on kila mtu apite kule,ili wakuzoee kwa namna unavyo watreate.Usijenge Kambi,waambie nipe nakulipa unasepa,sitaki hata sms after the dael,ukiona anazingua tengeneza simple contract.
 
We nae

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimeandika nimefuta ila nikushauri usijaribu hio kitu jitafunia vizuri nyama zako huko mkeo alipo una uhakika anabana paja? Unauhakika alivyokuoenda bado hajatokea mwingine wa kumfanya ajiskie kuwa nae, mwanamke yupo mbali unahisi atakaa muda wote bila kichombezwa na kuambiwa maneno mazuri yatakayofanya aliwe kimasihara.

Hebu pitia ule uzi wa rikiboy alafu utarudi kuleta mrejesho. OGOPA SANA KITU INAITWA KIMASIHARA.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ANALIWA MTU AAFU ZINASINGIZIWA POMBE AU MVUA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwa ufupi nina mke tumejaariwa watoto wawili,nampenda sana mke wangu lakini kutokana na distance tuliyonayo (yupo mkoani) najikuta nashawishika kumcheat yani ni ile mwili unatamani,nafsi na moyo vinakataa .

Ajabu sasa kila mwanamke ninaepanga kutoka nae nikimlinganisha na wife naona kabisa ni kama namdhalilisha hivi na kila nikipanga mission inafeli,wakuu natamani nisishawishike kabisa yani nisijihusishe na mapenzi nje ya mke wangu lakini kimbembe vishawishi vingi kwa nature ya mahali pa majukumu yangu,msaada jamani nafanyaje niwe mmoja ya wanaume waaminifu kwenye ndoa zao....

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Kucheat sio dili,baki njia kuu...
 
Back
Top Bottom