Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,562
- 986
Natamani UDOM kingekuwa chuo kikuu. Natamani CCM kiwe chama cha upinzani. Natamani mademu wote wawe wanatongoza wanaume. Natamani Jf member wengi wangekuwa wanatoka Tabora na siyo Arusha. Natamani mikoa ya Tabora, Lindi na Mtwara ingekuwa na watu wenye kuelewa mageuzi kama Mbeya, Mwanza na Arusha. Natamani JK asisafiri mpaka mwaka huu uishe. Natamani uchumi wa USA ungekuwa kama wa Tanzania. Natamani usingefungua hii post. Wewe unatamani nini?