Natamani haya yatokee kwenye nchi yetu

natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri mana wananchi wanafanya maamuzi kwa mazoea tu.

Itapendeza zaidi ikianzia Igunga ndo watakoma hata kuuza kadi zao za kura!!
 
Back
Top Bottom