Natamani abadilishe kidogooo

Inabidi nifanye kitu niondoe hii fear ya kuonekana najua kuliko yeye, maana hukawii kuambiwa umeyaona wapi?

na kama unajua kuliko yeye mfundishe kwa upole na msisimko
na usuogope kwamba atakuuliza umeyaona wapi hii ni enzi nyingine
kabisa kila kitu utandawazi
 
umesema huwa ikifika zamu yako huwa unafanya mambo makubwa lakini zamu yake ni yale yale....wewe huwa unafanya nini.......halafu toa mifano basi..... kama yeye anapenda automatic na wewe unapenda zote yaani automatic na manual...jaribu kumwambia....atakusaidia wala hakuna shida
 
umesema huwa ikifika zamu yako huwa unafanya mambo makubwa lakini zamu yake ni yale yale....wewe huwa unafanya nini.......halafu toa mifano basi..... kama yeye anapenda automatic na wewe unapenda zote yaani automatic na manual...jaribu kumwambia....atakusaidia wala hakuna shida

Edson na wewe! poa nnitakujulisha navyojituma sio kwamba mimi ni mtaalamu sana ndio maana naomba ushauri
 
hawezi nifikiria vibaya kweli! wanawake tumeumbwa na aibu? [/QUOTE]

Inategemea ni mtu wa aina gani, lakini tukubali kuwa ukimwuliza maswali moja kwa moja anaweza kuuliza umeyajua wapi. Hupaswi kuona aibu kwa suala linalohusu mipango ya muda mrefu ya maisha yenu.

Jaribu kwa kuanzia usitamke moja kwa moja. Tumia vitabu au filamu kama ulivyoelekezwa. Muambie tu "ningependa tusome kitabu hiki au tuangalie filamu hii ili tujifunze". Ikiwa una internet nyumbani ni PM nikupe link yenye mamilioni ya video.
 
1.mbwa kachoka..
2.kiduku
3.chuma mboga.
4.kijiko
5.baba na mama
6.kiinua mgongo..
7.utajuta kuzaliwa
8.kipepeo
8.chura
10. 69
11. Kula koni
12. Kunyonya embe
 
shantel fanya hivi badili kiwanja,isiwe kitandani kila siku,
hamieni kwenye kochi...itasaidia kumlazimisha abadili staili...

kingine zile staili anazopenda,jifanye husikii,jikaushe hivi....
ili ajiulize kuna nini?

mwisho ni porno movies,zinasaidia....sometimes....

halafu mpe majina ya staili kwa kiswahili..
mi nakusaidia machache hapa..

1.mbwa kachoka..
2.kiduku
3.chuma mboga.
4.kijiko
5.baba na mama
6.kiinua mgongo..
7.utajuta kuzaliwa
8.kipepeo
8.chura
10...................

wengine watamalizia..............
duh! kweli kiswahili kigumu na wabongo wanatohowa maneno na kuchakachua matumizi yake kila siku.,,,,,,,,,kwamfano kabla ya kiduku kuanza kutumika ,zamani hiyo staili ilikuwa inaitwaje?
 
hivi jamani ni aibu gani unayomuonea mpenzi wako? hebu mbadilike mfurahie maisha jamani.....yaani kwa mpenzi wako unaona aibu kumweleza iwwe hivi au vile? yeye labda ameridhika na hiyo style yake ndio coz anaifurahia.....
 
Shantal bana eti unaona haya!!

Nikupe ujanja wewe mfanyie usimwambie kweli kusema ni aibu ila tenda halafu unajikausha akiuliza uliza sana mwambie nimeangalia kwenye internent nikaona nijaribu akifurahia haulizi unakuwa ushampatia
 
Wala hamna ugumu unamwambia tu "mpenzi kesho naomba uje na staili hii sawa eeehh" basii ukimwambia staili mbili tofauti baasii ataanza kuzibadili mwenyewe bila kuambiwa na cha ajabu atakuletea hata staili ambazo wewe mwenyewe huzijui:lol:
 
Duuuh nawewe lol, sasa anakupagawisha nn nabado unataka abadili romance? Kuna maeneo machache sana ambayo ni sensitive kwa sex, ss kama kagusa yote unataka aende wp?
 
Duuuh nawewe lol, sasa anakupagawisha nn nabado unataka abadili romance? Kuna maeneo machache sana ambayo ni sensitive kwa sex, ss kama kagusa yote unataka aende wp?

Wala sio hivo Next Level sasa kama mtu akianza kila siku kilekile mi nachoka nataka leo akianza hiki kesho kivingine nachoka mwenzio. maeneo sensetive ni yaleyale ila abadilishe routine
 
Mhh, lazima uniambie source! :focus:

Elia kwa sasa hivi huwezi kuuliza mpenzi wako style hii umejifunza wapi
vyanzo vipo vingi sana sasa kama utakuwa unauliza utauliza ngapi
kila kukicha style mpya kupitia
Internet, kitchen party, stories kwa marafiki
ni kama unavyotaka kujiendeleza kielimu na mapenzi ni hivyo hivyo
usibaki nyuma kwa mistyle ile ile ya darasa la saba bana nenda mpaka chuo kikuu ikibidi
 
Ahsanteni kwa ushauri nimejitosa kwa nguvu zote na matokeo yake nimeyapenda sana wapendwa yaani hata hajakasirika sanasana kanipa pole kwa kumvumilia na kuweza kumwambia. sikuamini mpaka nililia. performance aliyoonyesha ni hatari jamani wanawake tusiwe mabubu tunaweza kabisa kuvunja ukimya.THANKS ALL
 
Nimesoma juujuu sababu nimechoka kesho tasoma posts zote ila bora umesema umemwambia unaona, mambo yamekuwa shega ni vizuri tukawa wawazi ili tuweze na sie kufaidi tendo
 
1.mbwa kachoka..
2.kiduku
3.chuma mboga.
4.kijiko
5.baba na mama
6.kiinua mgongo..
7.utajuta kuzaliwa
8.kipepeo
8.chura
10. 69
11. Kula koni
12. Kunyonya embe
Dah! Sie wengine mnatuacha kabisaaa,mbwa kachoka na mbuzi kagoma kwenda/chuma mchicha zina tofauti gani? Na je kiduku nayo ndio nn tena jamani?
 
Shantel au humwambii unachokitaka?hawezi kuhisi bwana elesa yeye wewe nataka nini,hata ukienda hotelini hukai tu na kusubiri chakula chochote kitakachokuja unaeleza aina ya chakula unachotaka.
 
shantel hadithi yako imenikumbusha kipindi fulani shemeji yangu alikula hela za msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na baba yake, yule rafiki yangu akaniambia shemeji yako ananizungusha michango mpk leo, nikaenda kumwambia dada yangu, dd alisema hivi, atakua amezila tu hizo hela yaani wanaume bwana!! kesho yake dd akaniambia hivi, nimemwambia shemeji yako ile habari lkn nilimwambia kuwa kunaigizo nimeliona TBC yaani mbaba mmoja kala hela za michango ya marehemu!! nilimuona dada yangu kuwa ana hekima sana!! na baada ya wk 1 tu shemeji alilipa deni la watu.

Shantel kuwa na hekima kumwambia kuliko kunyamaza kimya!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom