Natakakufungua duka la dawa Baridi -msaada tafadhari

mbeshere

Member
Nov 15, 2010
64
8
Wanajamvi!
Nataka kufungua duka la dawa za binadamu naomba msaada jinsi ya kupata vibali maana nasikia kupata kibali ni ishu..rahisi kupata kibali cha kuuza kitimoto pakistan kuliko cha kuuza dawa tanzania.

nawasilisha
 
Back
Top Bottom