Nataka niwe vpn user

Jamani wana tech i want to get my vpn..how do i go about that

Kama unamaaanisha Virtual Private network
ni PM tuone tunafanya je maana mm najua wapi zinatengenezwa i.e wapi kuna developers wazzuri watakao tengeneza kitu moyo ukapenda
 
Yes i do mean that

Kwa hiyo hapo kuwa specific sasa
Kuna VPN ni rahisi tu maana kuna OpenVPN ambayo hauitaji kuwa na VPN client bali unaweza kutumia hiyo OPEN SOURCE

Lazima uwe na Servers kama ni ya kutumiwa na watu wengi nakushauri Dedicated servers(DS) vinginevyo kwa kuanzia unaweza kuwa na Virtual private server ie VPS baadae uka scale up walau ukamix DS na VPS

Utaitaji kuwa na WEBSITE iliyokuwa powered na MySQL ili kuruhusu communication kati ya clients wako na server
Website pia lazima iwe na Payment gateway kwa hapa bongo paypal haitafaa hivo itabidi ku link VISA/MASTERCARD

Kuhusu VPN client unaweza kutumia open source client i.e open vpn zipo platforms zote i.e MAC,Windows,Android,iOS na Linux

Lkn kama ukitaka VPN client yenye LOGO yako na yenye features fulani kama sehemu ya kuweka UseID na Pswd au kuweka Remote port na Local port basi itabidi ku employ developer kwa hilo

Mwisho kabisa utaitaji System administrator au Server admin

Mm nilishaanza hii kazi lakini iligomea njia maana niliona itani COST kwenye server maintainance maana CASE za copyrights zitakuwa nyingi sana sana kwa server za torrents
 
Lkn kama nilivyokwambia TG wanayo ya Windows na Android tu basi

Ila yale makumpuni kama PIA utapata windows,MAC, na android
 
Jamani wana tech i want to get my vpn..how do i go about that

kwa jinsi nilivomfaham mm huyu anahitaji vpn user account na si kumiliki hiyo vpn..
kijana kuna vpn service nyingi zinatengenezwa na kutolewa dunian ila maarufu ni hawa hapa; tunnelguru,pdproxy,sandwich, open vpn etc.
 
.
Kaka nilikuwa nausoma tu mtiririko.....
.
njunwa wamavoko kamjibu vizuri japokuwa anakijua alichokuwa ana kitaka jamaa sema
ndivyo inavyotakiwa
.
jamiisms2.jpg
 
Last edited by a moderator:
kwa jinsi nilivomfaham mm huyu anahitaji vpn user account na si kumiliki hiyo vpn..
kijana kuna vpn service nyingi zinatengenezwa na kutolewa dunian ila maarufu ni hawa hapa; tunnelguru,pdproxy,sandwich, open vpn etc.

Maarufu kwa free internet ni hao uliowataja lkn sio best VPN providers
Jaribu ku Google uone utakutana na akina HidemyAss VPN,EXPRESS VPN,STRONG VPN,Private internet acess VPN,Solid VPN,PURE VPN etc
Na hamna magumashi na kuna 7-30days money back guarantee achana na hawa wafilipinono na wahindi hawana lolote
 
logo-vpn.png

Just by Clicking this link: Choose VPN, VPN Review, Free trail VPN, Top 10 VPN providers, UK VPN, Best USA VPN
choose_vpn.jpg

Jamani wana tech i want to get my vpn..how do i go about that
Maarufu kwa free internet ni hao uliowataja lkn sio best VPN providers
Jaribu ku Google uone utakutana na akina HidemyAss VPN,EXPRESS VPN,STRONG VPN,Private internet acess VPN,Solid VPN,PURE VPN etc
Na hamna magumashi na kuna 7-30days money back guarantee achana na hawa wafilipinono na wahindi hawana lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom