Nataka mtoto

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari wameniambia nina uwezo wa kuconceive!
Naombeni maombi yenu wanajf ili angalau mwakani mwezi kama huu na mimi niitwe mama flani
 
Tuwasiliane
 
Kama ujawahi kushika mimba hata siku moja? Kama tatizo mtoto usijali Ritz yupo!
 
071214.......... Au we tuma PM tu ueleze kwa kirefu nitakuwezesha. Kumbuka mwanamke akiwezeshwa anaweza.
 
Leo nimekaa chini nimewaza sana kuhusu maisha yangu in general, na nimegundua ninamiss kitu kimoja nacho ni mtoto nimetafuta kwa mda mrefu sasa mpaka nahisi mimi mgumba ingawa madaktari wameniambia nina uwezo wa kuconceive!
Naombeni maombi yenu wanajf ili angalau mwakani mwezi kama huu na mimi niitwe mama flani
sijakupati vizuri vile unataka kupata mimba au mtoto? kama mtoto wapo wa kuadopt mimba hapo bagumu.
 
Back
Top Bottom