Nataka mfanyizia mbaya, naombeni ushauri wenu.

kwani maandishi ya kiarab yana nini maria si ni lugha tuu au vipi??
Chukua kikaratasi andika maandishi ya kiarabu hata kama hujui kuyaandika wewe koroga tuu halafu kishonee na kitambaa cheusi na kidondoshe kibarazani kwao ila saikuone haha haha nakwambia watahama mtaa lol :heh::heh::heh:
 
Vipi mzee umezidiwa mapigo nini hadi uanzishe visa kwanza kwa mwanaume aileti picha nzuri
 
Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.

Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.

Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.

Huyo swty ni nyumba ndogo, mke au mchumba wako?
 
I really dont think you should do anything to him, but you should do something to your sweetie,

she is afterall your sweetie, so palilia mapenzi yako kwake usimfuatilie huyo kwa visa kama hivyo,

unajua huu ni uswahili kupita kiasi na kama mpaka vizazi vya sasa vinafanyiana visa vya mikwara pori kama hichi chako, hatutofika.....
 
Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.

Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.

Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.
Mbona ukimwendea tu uso kwa uso na kujitambulisha kuwa wewe ni fulani kwa anayemsumbua na hata hivyo umemsikia kuwa msumbufu kwa sweety wako ataacha.....? Hata na kuhama mji anaweza.....!
 
dawa ya moto ni maji. Muonyeshe kuwa umegundua mchezo wake halafu play cool,utampa psychological torture itakayompa adabu
 
Back
Top Bottom