Nataka kuwa naonesha sports,nifanyeje??

marandu2010

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
1,199
435
Habari za wakati HUU waheshimiwa! Ninataka kujua jinsi ya kuwa na uwezo wa kuonesha mechi za nje hasa za supersport,ninatakiwa kuwa na nini?? Na gharama zake zikoje? Nawasilisha wakuu.
 
Huu mchongo unalpa kinoma. Ila nakushauri uanze mwez wa 9 lig za ulaya na (tz) zkianza. Uwe makini na sehemu za kuweka hasa kwenye mkusanyiko wa vjana k.v chuon, shule, n.k. Pia uwe na ukumbi mkubwa, jnreta, screne kama 3 za kuvutia. Yaani ni kumake proft 2. Kwa cku hukosi lak2.
 
asante sana mkuu,sasa naomba unipe ni vifaa gani sijui DECORDER na vinginevyo,naomba nidadafulie hapo,na vinagharimu kiasi gani cha pesa.
 
Waone watu wa super sport kuna kadi watakupa utachomeka kwenye receiver yako, ila sijui wanalipa sh. Ngapi kwa mwezi
Habari za wakati HUU waheshimiwa! Ninataka kujua jinsi ya kuwa na uwezo wa kuonesha mechi za nje hasa za supersport,ninatakiwa kuwa na nini?? Na gharama zake zikoje? Nawasilisha wakuu.
 
Wewe uko wapi? ukumbi wako ni mkubwa kiasi gani? Unaweza kutumia projector nzuri, plasma tv ama lcd led tv kubwa na idadi kulingana na setup mkao na ukubwa wa ukumbi! Angalia location babu, sku hizi wenye hotels na bar wanaweka tv kubwa na dstv watu kuangalia bureee; isije ikala kwako aisee!
 
Back
Top Bottom