Nataka kutumi airtell moderm lakini inagoma kufanya installation naomba msaadan

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
Nimenunua moderm ya Airtel lakini kila nikijaribu kuchomeka kwenye kompyuta inaniambia " Window cannot access the specified device or path or file. you may not have appropriate permissions to access the file" nifanyeje?
 
Hiyo ni computer ya home au ya office?Kama ni ya office itakuwa imefungwa upande wa administrator so haruhusu any kind of software to be installed in the pc to instal you must grant for permission yaani iko disable inabidi uinable ili hiyo modem itambulike na hiiyo windows ili ijifunge kwenye pc
 
PC Ni ya kwangu na nimeingia kama admn lakin inagoma kusoma hiyo moderm
 
kuna ka problem fulani kwenye computer yako. jaribu kuchomeka kwenye tundu moja moja za usb ya computer yako, labda mojawapo itakubali. modem za airtel ni bei gani sasa?
 
kuna ka problem fulani kwenye computer yako. jaribu kuchomeka kwenye tundu moja moja za usb ya computer yako, labda mojawapo itakubali. modem za airtel ni bei gani sasa?

Wakat nanunua ilikuwa 60000
 
Back
Top Bottom