mbogora marelo
Member
- Nov 29, 2020
- 11
- 0
Samahani ndg zangu
Nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili Jambo. Mimi nimemaliza form four mwaka Jana nikawa nimechaguliwa chuo kwenda kusoma course ya clinical medicine na tamisemi na Malengo yangu ilikuwa kusoma pharmacy
Nilienda chuo nikalipoti na nikafanyiwa usajili nikajua unaweza kuhamia chuo kingine kama course unayoitaji haipo lkn haikuwa kama nilivyofikili mimi kwa upeo wangu. Nimechukua jukumu nikaanika barua kwa mkuu wa chuo kusitisha masomo(kuacha) kwa lengo la mwakani nifanye application upya
Je ninaweza kuchaguliwa