HrConsultancy
Member
- Oct 11, 2021
- 11
- 6
Ndugu zangu habari za muda huu mimi ni mhitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) kwa sasa nahitaji kujiendeleza katika Ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters in HRM) chuo kikuu huria Tanzania kwa mwaka wa Masomo 2023/2024.
Naomba kwa yoyote ambae aliwahi kusoma akafanikiwa kuhitimu kwa level hiyo anijuze namna nzuri ambayo itanisaidia kuweza kusoma Shahada hii na kumaliza ndani ya muda mfupi ikiwezekana ndani ya mwaka Mmoja maana nimeona kwa chuo hiki inawezekana.
Ahsanteni kwa maoni na Ushauri nitakaopata kutoka kwenu.