Nataka Kurudi Tanzania-Ushauri

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Nina masters yangu ya Logistics,nimeifanyia Canada,na First degree yangu ni ya Accounts nimeifanyia Australia,working Experience 3 Yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.

Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.
 
Mhm MAISHA NI POPOTE APO ULIPO PIA WAWEZA FANYA MAISHA, BETTER TO MOVE PLACE ULIYOPO KULIKO KUJA BONGO NA KUANZA MWANZO KUZUNGUKA TUUU NA MIVYETI YAKO.........U NEED TO HAVE UR PERSONAL DECISION THAN PEOPLE DECISION, UTAKUJA LIA
 
Nina masters yangu ya Logistics,nimeifanyia Canada,na First degree yangu ni ya Accounts nimeifanyia Australia,working Experience 3 Yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.

Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.

uliondoka kipindi gani? enzi za kuzamia meli?

- Huwezi rudi, ukikumbuka yale maisha ya maduka ya kaya

au kipindi cha kuondoka na leagal visa?

- utarudi kribu uchakarike
 
Its hi time sasa watu waondoe mentality ya kuajiriwa, una exposure na una rite experience,unaweza piga mzigo wa nguvu for one more year huko save kiasi cum up na kitu n start up ur own, opportunities huku bado nyingi sana. All the best n karibu
 
Ndugu kwa ushauri wangu baki huko zichange kwa muda wa miaka kadha then rudi tz then open your own organisation ukirud kwa sasa utajuta kazi utapata ila maisha yapo juu hayatakidhi mahitaji utaishia kuspend tu there wil be no saving ni hayo tu
 
kujiajiri hilo alinisumbui hata kidogo kwa sababu najua naweza kujiajili..maisha yangu yako kwenye mstari kidogo,na mtaji ni nao wa kutosha.hata hapa ninapofanya wanalipa pesa nzuri najua hata kwa bongo hawezi kufikia robo ya malipo ninayopata..shida najisikia stress na kama hatia vile..napenda kuishi na jamaa zangu kwa karibu zaidi.kuna kitu naona kama kimenza kupungua hasa kuwa mbali na wazazi wangu na jamaa zangu kwa mda mrefu.kila nikija nakaa week mbili au tatu nakuondoka.kaka yangu ,mdogo wangu napenda kuwa nao karibu sana.sioni kazi kama inanipa furaha ninayotoka..
 
Mkuu nakushauri urudi around November 2015..Angalao utakuwa umejua hatma ya nchi yako. Otherwise kwa sasa Tanzania bado imekuwa taifa la migomo, siasa za mipasho na maandamano...
 
Kuhusu malipo waulize walimu na madaktari.. watakupa ushauri mzuri zaidi
 
Subiri ikikaribia 2015 uje utangaze nia mdau!Kwani wewe mwenyeji wa wapi kwa asili hapa bongo?
 
Kuwa unawatumia invitation, waje kukusalimia,wew tz ukija mshahara wa mtu wa levo yako wamekulipa sana ni mil3, kama unaona unajiweza njoo fungua org yako piga kazi huku ukiwa na ndugu zako
kujiajiri hilo alinisumbui hata kidogo kwa sababu najua naweza kujiajili..maisha yangu yako kwenye mstari kidogo,na mtaji ni nao wa kutosha.hata hapa ninapofanya wanalipa pesa nzuri najua hata kwa bongo hawezi kufikia robo ya malipo ninayopata..shida najisikia stress na kama hatia vile..napenda kuishi na jamaa zangu kwa karibu zaidi.kuna kitu naona kama kimenza kupungua hasa kuwa mbali na wazazi wangu na jamaa zangu kwa mda mrefu.kila nikija nakaa week mbili au tatu nakuondoka.kaka yangu ,mdogo wangu napenda kuwa nao karibu sana.sioni kazi kama inanipa furaha ninayotoka..
 
Dah huku kili siku mawazo mara, Mgomo wa madokta, mara Ulimboka akakutwa Mabwe Pande, Kubenea amedhurumiwa, waalimu nao balaa, Shigongo anataka tumsaidie kuwachukia Waganda, Bunge drama tupu, juzi juzi Joyce Banda anatupiga mkwara na JK amenywea. UAMSHO, Wazenji wamecharuka, Waislam wamegomea sensa. We subiri 2015 then urudi.
 
Nilipoamua kurudi nyumbani,
Nyumbani ni nyumbani hata kama kukiwa kubaya au kuzuri
Kwako ni kwako, kwa baba yako ni kwako
-Remmy Ongala
 
njoo haraka mambo mengine yatajiongeza mbona sisi tunaishi bila kazi wala tunajitegemea kwa vichwa vyetu lakini kwa shughuli halali itakuwa wewe njoo mshiko utaupata na future ipo bana kuliko huko
 
bora usirud! Kaa uko uko!!uku hali ngumu sana,yan hata hao wenye masterz kaz hakuna
 
Back
Top Bottom