Nataka kuoa Muhindi!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo uwezekano huo. Je! kama hapa Bongo ni ngumu nikiamua kuwafuatilia huko kwao India inawezekana? Naomba mtu mwenye ufahamu na nchi hiyo mila na taratibu zake za kindoa anijuze kwani nimeamua kutoka moyoni kutafuta Fedha kwa ajili ya mpango huo. Pia naomba mwenye maelezo ya kina juu ya gharama za usafiri wa kwenda India maisha ya huko si vibaya akanifahamisha pia!
 
Kwetu tanga wapo walioa wahindi...

inawezekana lakini ngumu kidogo...

kama ni mkristu upate family ya wahindi walioshika dini... hawana matatizo as long wakijua wewe pia ni kama wao kiimani.......

kama ni muilslam same thing... upate wenye dini haswaa.. wanakuwa hawana matatizo.... (namfahu jamaa aliwahi kuozeshwa na baba wa mtoto sababu ni kijana aliye hifadhi kuruani)

BUT

sijapata kuona muafrika au hata mtu wa asili nyingine akioa muhindi ambaye hawana kitu common katika maisha yao....

so inawezekana its a matter of right person @ the right time!.....

Good luck!
 
Kumbe hakuna hata haja ya kwenda India, ni hapo Tanga tu! Binafsi kwa hapa TZ hii ni habari mpya kwangu. Nilifikiria India kwa SBB kule wapo hata omba omba, Kwa hiyo unaweza kuoa hata familia za chini lakini kwa huku Bongo familia nyingi za hawa jamaa wana uwezo kiuchumi na NAHISI wanaona kama ni kudhalilika kuolewa na MTZ! Ahsante mkuu kwa ushauri. Nitatembelea Tanga hivi karibuni!
 
Shijaf nakuona hapa hilo jina mbona kama muhindi please nifahamishe zaidi!
 
Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo uwezekano huo. Je! kama hapa Bongo ni ngumu nikiamua kuwafuatilia huko kwao India inawezekana? Naomba mtu mwenye ufahamu na nchi hiyo mila na taratibu zake za kindoa anijuze kwani nimeamua kutoka moyoni kutafuta Fedha kwa ajili ya mpango huo. Pia naomba mwenye maelezo ya kina juu ya gharama za usafiri wa kwenda India maisha ya huko si vibaya akanifahamisha pia!

Muulize Kingunge Ngombale Mwiru akupe maujanja.
 
Oa tu...sema wapo wengine ni wabaguzi japo wanaishi kwenye nchi ya weusi bado hawataki mabinti/ndugu zao waolewe na mtu mweusi.

Nakumbuka miaka mitatu iliyopita nilispend muda kiasi na rafiki wa rafiki yangu pamoja na girlfriend wake wa kihindi...mdada akaniambia anampenda sana kijana ila hana ujasiri wa kuwaambia kwao maana hawatomwelewa na mchumba ameshatafutiwa yuko marekani kwahiyo anatafuta namna ya kuepuka hilo shari la kwenda kuolewa na mtu asiyempenda. Hata kwenda na sisi kula nje alikua anaogopa asije akagongana na watu wa kwao...sijui waliishia wapi!!!
 
kuna jamaa yangu hapa dodoma anaitwa dogo nyenze kaoa kalasinga.<br />
mtafute atakupa maujanja anakaa nkuhungu.

Siku hizi wahidi wanamegwa tu mkuu.
Mbona bongo hapa wahindi kibao tu wanajiuza! Cha msingi jamaa ataweza mana nasikia hawa wenzeni ni full chemchem maji 24 hrs. Inahitaji mpiga mbizi hayseee, jamaa akajifunze kwanza diving.
 
kweli......yaani ni full bwawa..., then ni wa baridi mno.....! aKajaribu anaweza ukabahatika aliekuwa fresh. ila mzuri ni yule aliyechanganya ( 0.5)
 
1. Mahari wanalipa wao...(mwanamke) kwahiyo mjiandae kupokea mahari.
2. Wanaruhusu mwanamke mmoja kuolewa (officially) na mwanaume zaidi ya mmoja (Polyandry)... Get prepared maana ni sehemu ya utamaduni wao.
 
Mkuu,
Hao viumbe sio kabisa.
Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.
Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!
Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively. Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya!
Sikushauri kabisa hao viumbe.
 
duh labda uende mumbai wako wengi lakini delhi issue wengi wana vipato kama alivyokwambia mdau mmoja juu hapo
 
Mkuu,
Hao viumbe sio kabisa.
Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.
Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!
Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively. Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya!
Sikushauri kabisa hao viumbe.

mmmm kaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom