Nataka kuoa Muhindi!

Kumbe hakuna hata haja ya kwenda India, ni hapo Tanga tu! Binafsi kwa hapa TZ hii ni habari mpya kwangu. Nilifikiria India kwa SBB kule wapo hata omba omba, Kwa hiyo unaweza kuoa hata familia za chini lakini kwa huku Bongo familia nyingi za hawa jamaa wana uwezo kiuchumi na NAHISI wanaona kama ni kudhalilika kuolewa na MTZ! Ahsante mkuu kwa ushauri. Nitatembelea Tanga hivi karibuni!

HIVI, unataka kuona au kuishi na mwanamke tu? NDOA si mchezo bwana ile ni taasisi ambamo watu wawili wenye akili timamu na umri unaokubalika kisheria kuamua kwa hiari yao kuishi pamoja.... katika raha na tabu...
Nakushauri ukue kwanza...

Nina mfano halisi, kuna jamaa alioa kasichana kazuri kana asili ya kiarabu na akazaa naye mtoto mmoja, ikatokea siku jamaa akiwa kazini binti akaja akachukuliwa na jamaa mwingine(mwarabu) na alimuandalia passport na kila kitu na kuondoka naye eti yule jamaa(mbongo) hana hadhi ya kuwa na huyo binti, jamaa aliporudi home akakuta ujumbe kaachiwa na huyo binti kuwa wasijuane..... jamaa alichanganyikiwa ila siku hizi naona amekamata li jimama (sugarmami) linamtunza tu naona ameshamsahau mkewe

Hivyo tegemea chochote, na ukisikiaga kuna kijana(mbongo) amekutwa amekufa INDIA akiwa masomoni.....chunguza utapata jibu, kama si alianza uhusiano na mtoto wa muhindi

Wabongo bwana,full kuachambua wahindi,jueni hata wao hutuchambu pia kama hv ooh weusi wana nanihiii kubwa ka mkono wa mtoto mdogo,hvyo utaambulia maumivu tu,oooh ngozi nyeusi(wenyewe wanatuita golo) wanaparamia kama kuku no maandaliz no nini wao kanyaga twende,mguu kulia,mguu kushoto,kiuno tingisha,mikonooooo legezaaaa!

waha harufu flani flani yaani waweza tapika kama hujazoea mauchafu
pia stimu itapidi uvutie kwa wa nje

duh labda uende mumbai wako wengi lakini delhi issue wengi wana vipato kama alivyokwambia mdau mmoja juu hapo

Wenye vipato a.k.a tembo card master card, nd'o poa maana watatoa posa kubwa na kukuza pato la taifa.

Mkuu,
Hao viumbe sio kabisa.
1. Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.
2. Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!
3. Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively.
Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya! Sikushauri kabisa hao viumbe.
Kwa kuwa hii mada sio utani, ningeshauri tusitumie lugha ya dharau kwa maumbile yao. Mbaya zaidi ni kuwa hizi ni dhana tu. Nani ameshatembea na Muhindi kuthibitisha 1, 2, 3? Ninachowahakikishia ni kuwa "hayo maumbile yaliyotajwa sio kweli hata kidogo. Na kama wapo walio hivyo, basi na Waafrika wapo pia". Hatupaswi kujumuisha watu wote kapu moja.

1. Mahari wanalipa wao...(mwanamke) kwahiyo mjiandae kupokea mahari.
2. Wanaruhusu mwanamke mmoja kuolewa (officially) na mwanaume zaidi ya mmoja (Polyandry)... Get prepared maana ni sehemu ya utamaduni wao.

..Mkiwa zaidi ya wanaume wanne, mnapangiwa "duty roster".

Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo uwezekano huo. Je! kama hapa Bongo ni ngumu nikiamua kuwafuatilia huko kwao India inawezekana? Naomba mtu mwenye ufahamu na nchi hiyo mila na taratibu zake za kindoa anijuze kwani nimeamua kutoka moyoni kutafuta Fedha kwa ajili ya mpango huo. Pia naomba mwenye maelezo ya kina juu ya gharama za usafiri wa kwenda India maisha ya huko si vibaya akanifahamisha pia!
Uwe tayari kulala na mavi chumbani na sebuleni,siwezi oa muhindi hata angekuwa mzuri kama malaika na hata angekuwa na njuluku kama Bill Gates ni wachafu kupindukia hadi hutoa harufu

Mkuu,
Hao viumbe sio kabisa.
Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.
Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!
Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively. Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya!
Sikushauri kabisa hao viumbe.

Jamani mbavu zangu!! bwana weye unanichekesha mpaka basi,unawaharibia wenzio masoko hivi hivi.lakini wavumilivu sana .

Mkuu,

Hao viumbe sio kabisa.

Kwanza hawachezwi, kwahiyo kwenye mambo yetu yale anakuwa kama mdoli aka toy!.

Pili ni wa baridi mno. Kwahiyo utalimiss lile joto la kike!

Tatu ni maji. Wana maji mengi sana kule maeneo utadhan kilimanjaro natural spring. Ni mwendo wa kubadilisha shuka kila round na kufua respectively. Achilia mbali kukosa mnato, pia utakosa utamu maana akikohoa tu, mnaanza upya!

Sikushauri kabisa hao viumbe.

no comment

Back
Top Bottom