Nataka kununua msitu wa Mabwepande

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,271
Kwa anayeumiliki msitu wa Mabwepande nataka kuununua kwa bei yoyote ile,nawakilisha
 
Ha ha ha!!!Ukitaka mgodi wa dhahabu utapewa bure lakini sio kununua Mabwe...!!!
 
Haha jamani nataka kuwekeza ili serikali ipate kodi, kuwa hifadhi ya makaburi ni kuikosesha serikali mapato
 
Back
Top Bottom