Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho kinakuwa kinalipa sana toka mafuta mishahara umeme nk na kampuni ya mgodi haifi na wala haiteteleki.
SWALI LANGU NI!
1) Je! naweza kujua matumizi yote ya dhahabu na kati ya hayo ni lipi hutumia kiasi kikubwa cha dhahabu?
2) Ni nani hasa mnunuzi wa dhahabu zinazo toka kwenye migodi yetu baada ya makampuni ya migodi kusafirisha nje ya nchi?
3) Dhahabu inahusishwa vipi na utajiri wa nchi fulani au katika kulinda thamani ya fedha ya nchi fulani na Je? ni lazima kila nchi iwe na dhahabu kwenye bank ya dunia?