mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,256
- 4,599
Jamani mi labda ndo sielewi.laini si mali yako.ni mali ya vodacom na mitandao mingine,sawa na visimbuzi pia,kama kwako una DSTV ile ni yao sio yako.pia mita ya umeme ni mali ya tanesco,mita ya dawasco ni yao.ID ya chuo au shule ni mali ya chuo pia.cable tv ni mali ya wenye cable n.k. sasa hapo dawa ni kuwahama voda au kubali masharti yao.over.