Nataka kuipeleka VODACOM Mhakamani mnisaidie mnaojua sheria.

Jamani mi labda ndo sielewi.laini si mali yako.ni mali ya vodacom na mitandao mingine,sawa na visimbuzi pia,kama kwako una DSTV ile ni yao sio yako.pia mita ya umeme ni mali ya tanesco,mita ya dawasco ni yao.ID ya chuo au shule ni mali ya chuo pia.cable tv ni mali ya wenye cable n.k. sasa hapo dawa ni kuwahama voda au kubali masharti yao.over.
 
Nimechekaa
Ila mitandao ya simu i wasumbufu sana

Ingekuwa Airtel ningejoin forces, but Sina laini ya voda.

But nenda tu ili ukawe pilot waache hi tabia.
 
INSTAMOJA
TANOSPESHO
MOJABET
SPORTPESA

hiyo ndio michezo ya Vodacom wamenunuliwa na Hawa wachezesha kamari ili watusumbue...Naunga mkono hoja
 
Mi nakushauri wakodie uber au bodaboda chaap mpaka mahakama iliyo karibu nawe
 
Back
Top Bottom