Nataka kuipeleka VODACOM Mhakamani mnisaidie mnaojua sheria.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wanabodi
Mimi binafsi nampango wakuipekeka kampuni ya simu mahakamani nawasiliana na mwanasheria wangu anisaidie ila kabla ya kuanza mchakato natafuta ushauri.

Vodacom wanaingilia uhuru wangu katika simu yangu na kunisababishia usumbufu!kwa kutuma ujumbe kila saa wakati mimi.sikuuomba.

Vodacom wanatumia simu yangu kama.sehemu yakufanyia matangazo bila kuwa namkataba wowote na mimi mimi mlaji.

Vodacom wananisababishia usumbufu wa kuwa nafuta jumbe zao kwa kutumia muda wangu pia nisipo futa napata usumbufu wakupata ujumbe wangu kutokana na ujumbe wao kuwa mwingi katika simu Vodacom Tanzania mjiandae.
 
Zile laini tunazonunua vile vikaratasi tunavyotupa vina maelezo.

Unaweza kuta wana kifungu kinasema.

'Kutumia laini hii inamaanisha umekubaliana na masharti ya Vodacom na washirika wake, Vodacom na washirika wake wana haki ya kukutumia taarifa, matangazo, promosheni na chochote watakachoona kinafaa'

Ndiyo maana simu zina option ya kudisable broadcasting sms ili vitu kama hivi visikukumbe kila mara.

Hivi mfano upo kazini wakikutumia ujumbe kua Nyumba yako inaungua tumewataarifu Fire & Rescue utaenda kuwashtaki?
 
Nenda Vodacom special thread..hapa sio mahala sahihi
 
Zile laini tunazonunua vile vikaratasi tunavyotupa vina maelezo.

Unaweza kuta wana kifungu kinasema.

'Kutumia laini hii inamaanisha umekubaliana na masharti ya Vodacom na washirika wake, Vodacom na washirika wake wana haki ya kukutumia taarifa, matangazo, promosheni na chochote watakachoona kinafaa'

Ndiyo maana simu zina option ya kudisable broadcasting sms ili vitu kama hivi visikukumbe kila mara.

Hivi mfano upo kazini wakikutumia ujumbe kua Nyumba yako inaungua tumewataarifu Fire & Rescue utaenda kuwashtaki?
Nani aliyewahi tumiwa ujumbe wa hivyo au ww ni customer care wa Vodacom nini?
 
Hahaha huyo mwanasheria wako unayewasiliana naye hajui/hafahamu sheria?! Au yeye ndiye anaomba tumsaidie?!
 
Terms of use, umewahi zisoma wengine waita terms and conditions! Fika kwa lawyer wakko,litaishia hapo
 
Huyo jamaa nyumba hana ,,anakaa home!!!
Zile laini tunazonunua vile vikaratasi tunavyotupa vina maelezo.

Unaweza kuta wana kifungu kinasema.

'Kutumia laini hii inamaanisha umekubaliana na masharti ya Vodacom na washirika wake, Vodacom na washirika wake wana haki ya kukutumia taarifa, matangazo, promosheni na chochote watakachoona kinafaa'

Ndiyo maana simu zina option ya kudisable broadcasting sms ili vitu kama hivi visikukumbe kila mara.

Hivi mfano upo kazini wakikutumia ujumbe kua Nyumba yako inaungua tumewataarifu Fire & Rescue utaenda kuwashtaki?
 
Mi wananikera kupigiana simu tu. Umelala simu inaita ukiamka ukipokea unaanza kusikia kupata hadithi nzuri ya....
 
Mkuu Umeniwahi: hawa jamaa sasa hivi ni kero mno.Wameigeuza simu yangu ubao wa matangangazo! Mpyuu
 
Endelea na mambo mengine Mkuu, Hiyo laini ni ya Voda na hayo ndio masharti yao uliyasaini.

Mbona ukinunua gazeti unakuta matangazo, uksikiliza radio utapigiwa matangazo, ukiangalia tv watakurushia matangazo, hata ukiingia Jamii Forum utaletewa matangazo ya Super Bets. yote haya hukuwahi kuyataka lakini ndio masharti yenyewe ya kutumia hizo service
 
Zile laini tunazonunua vile vikaratasi tunavyotupa vina maelezo.

Unaweza kuta wana kifungu kinasema.

'Kutumia laini hii inamaanisha umekubaliana na masharti ya Vodacom na washirika wake, Vodacom na washirika wake wana haki ya kukutumia taarifa, matangazo, promosheni na chochote watakachoona kinafaa'

Ndiyo maana simu zina option ya kudisable broadcasting sms ili vitu kama hivi visikukumbe kila mara.

Hivi mfano upo kazini wakikutumia ujumbe kua Nyumba yako inaungua tumewataarifu Fire & Rescue utaenda kuwashtaki?
Khakhakha! Hii Kali kweli ya Kaizari mpe Kaizari ya Mungu mpe Mungu.
 
Wapeleke haraka na Mimi nitakua shahidi kwa kuwashitaki kwa Wizi wa bundles, ukiweka bundle ya elfu 15 hata kujatumia unasikia inakwambia bundle yako inakaribia kwisha inabaki your internet bundle is less than 96 Mb,!🤭 wezi wakubwa na naachana nao
 
Nipo nasoma hayo masharti na vigezo. Nipate pakupatia hela Voda mamaaaza.. txt kibao ukiingiza vocha nimeamua nisiweke airtime
 
Back
Top Bottom