mganyiz magayane
Member
- Mar 14, 2017
- 38
- 113
Wanajamvi habari, mm ni mwalimu mwenye kiwango cha elimu ya degree. Nina miaka 14 toka niajiriwe.
Niliajiriwa na certificate but now nina shahada ambayo niliipata mwaka 2018
Nipo shule ya msingi ni mwalimu mkuu lakini hiki cheo kinanitia umaskini kwakweli.
Wakati nasoma University lengo lilikuwa nikirudi niombe kuhama but nikawa na changamoto nyingi za kifamilia.
Sasa naomba anieleweshe nifanyeje nimechoka kukaa huku nataka nihamie Nacte au Wizara ya Elimu. Umri wangu kwa sasa miaka 38.
Nishaurini wanaJF huenda nikapata abc cha kufanya.