Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

Sasa kwanini basi mke sipati ili kuepuka kuzini, kama nikutafuta na kuomba nafanya sana?
Usikate tamaa,endelea kuomba,ukiona giza linazidi ujue kumekaribia kupambazuka,Mungu hua hamtupi mja wake mwenye nia njema,

Huko unapotaka kujiingiza utapotea,itafika muda utatamani hata uwe na hali uliyonayo leo ila haitowezekana tena,kuna risk kubwa sana ya kiafya huko unapotaka kukimbilia,

Kaa chini,fikiria kisha jihurumie,
Kila kitu kitakua sawa na utasahau maumivu unayoyapitia sasa,do ur best and God will do the rest,

Good luck Brother.
 
Ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa natarajia kuanza rasmi kununua dada poa na yote haya nikutokana na zoezi langu la kupata mke kuniwia vigumu sana kwani hakuna mwanamke ninayekutana naye nakuwa teyari kuolewa na mimi.

Sijawahi kununua dada poa mpaka nafikisha umri huu wa utu uzima na siku zote nilikua najiambia sitokaa kununua dada poa napia nilikua naona kufanya hivyo ni kukosea, nilikua napenda sana niwe na mke wangu hatakama atakua pasua kichwa ila tuu niwe na mke wangu , ila sasa naona ni heri nianze kununua dada poa japo sipendi ila itanibidi tuu.

Mabinti wengi nilionao kama wapenzi na wengine marafiki hawataki kabisa niwaoe wao wanapenda tuu mdate na mlane siku ziende japo mimi nataka kuoa ila ndiyo hivyo.

Nimejaribu sana kuangalia huku na huko pamoja na kuomba sana nipate mke ila naona kabisa maji yamenifika shingoni na huku ninakoelekea msongo wa mawazo wa kupata mke utanifanya nionekane kichaa bure mbele za jamii pamoja na kazini.

Ndugu zangu mimi kuiweka akili yangu sawa na kujisahaulisha hili swala la kuoa nimefikiria sana ninunue tuu madada poa pamoja na wadangaji,

nimefikiria niwe na urafiki na wanawake wa dangaji niwatoe hela na wanipe utelezi ,pia wakati mwingine niwe naenda sokoni kujichukulia dada poa na kupunguza msongo wa mawazo wa kupata mke unao nitesa akili na nafsi yangu.

Pia nafikira kurudia ulevi na natarajia kua mlevi wa pombe kali sana, madawa ya kulevya na mlevi wa wanawake kupita kiasi.

Pia nafikiria kupunguza kiwango cha imani nilicho nacho na niwe tuu mtu asiye na upande wowote,

Ndugu zangu haya ndiyo nimekaa nimetafakari naona kujipa furaha acha niingie katika huu ulimwengu mwingine labda nitarelax na yote haya ni kutokana na upweke wa nafsi nilionao ambao naona kabisa wakujazilisha nafsi yangu ni mwanamke pia upweke wa nafsi umekuwa ukinisimbua kila usiku na kila kukicha ndugu zangu.

Watalamu wa afya ya akili katika hospitali tatu za rufaa nilijaribu kuwaeleza kinacho nisibu na walinishauri fanya uoe utulie kama unaona mwanamke ndiye anayeweza kukutuliza ila nimejaribu kueleweka kwa wanawake lakini naona kabisa nina mkosi na hakuna anayetaka nimuoe.

Nimeomba sana nipate mke sasa nimekata tamaa naona naangamia kwa msongo wa mawazo bora tuu ni nunue dada poa labda nitakaa sawa na niwe mlevi sana kuponya nafsi yangu maana siku za usoni naona kabisa nitashikwa na depression ili hali mimi bado ni kijana tuu wa watu

Naombeni mawili matatu ndugu zangu.

Asanteni.
Hili nalo ni tangazo la natafuta mtu wa kuoa ila limekuja katika njia nyingne ya kuonwa innocent.
Mkuu we kunywa...nnua sana ila weka akiba ya fedha usije ukahitaji msaada wa raia.
 
Kama utelezi unapata kwa mabinti sasa dadapoa wa nini?
Kwani dada poa ukinunua ndo umepata mke? Au we unaenda kununua dadapoa awe mke sio trip ya data to day?
 
Ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa natarajia kuanza rasmi kununua dada poa na yote haya nikutokana na zoezi langu la kupata mke kuniwia vigumu sana kwani hakuna mwanamke ninayekutana naye nakuwa teyari kuolewa na mimi.

Sijawahi kununua dada poa mpaka nafikisha umri huu wa utu uzima na siku zote nilikua najiambia sitokaa kununua dada poa napia nilikua naona kufanya hivyo ni kukosea, nilikua napenda sana niwe na mke wangu hatakama atakua pasua kichwa ila tuu niwe na mke wangu , ila sasa naona ni heri nianze kununua dada poa japo sipendi ila itanibidi tuu.

Mabinti wengi nilionao kama wapenzi na wengine marafiki hawataki kabisa niwaoe wao wanapenda tuu mdate na mlane siku ziende japo mimi nataka kuoa ila ndiyo hivyo.

Nimejaribu sana kuangalia huku na huko pamoja na kuomba sana nipate mke ila naona kabisa maji yamenifika shingoni na huku ninakoelekea msongo wa mawazo wa kupata mke utanifanya nionekane kichaa bure mbele za jamii pamoja na kazini.

Ndugu zangu mimi kuiweka akili yangu sawa na kujisahaulisha hili swala la kuoa nimefikiria sana ninunue tuu madada poa pamoja na wadangaji,

nimefikiria niwe na urafiki na wanawake wa dangaji niwatoe hela na wanipe utelezi ,pia wakati mwingine niwe naenda sokoni kujichukulia dada poa na kupunguza msongo wa mawazo wa kupata mke unao nitesa akili na nafsi yangu.

Pia nafikira kurudia ulevi na natarajia kua mlevi wa pombe kali sana, madawa ya kulevya na mlevi wa wanawake kupita kiasi.

Pia nafikiria kupunguza kiwango cha imani nilicho nacho na niwe tuu mtu asiye na upande wowote,

Ndugu zangu haya ndiyo nimekaa nimetafakari naona kujipa furaha acha niingie katika huu ulimwengu mwingine labda nitarelax na yote haya ni kutokana na upweke wa nafsi nilionao ambao naona kabisa wakujazilisha nafsi yangu ni mwanamke pia upweke wa nafsi umekuwa ukinisimbua kila usiku na kila kukicha ndugu zangu.

Watalamu wa afya ya akili katika hospitali tatu za rufaa nilijaribu kuwaeleza kinacho nisibu na walinishauri fanya uoe utulie kama unaona mwanamke ndiye anayeweza kukutuliza ila nimejaribu kueleweka kwa wanawake lakini naona kabisa nina mkosi na hakuna anayetaka nimuoe.

Nimeomba sana nipate mke sasa nimekata tamaa naona naangamia kwa msongo wa mawazo bora tuu ni nunue dada poa labda nitakaa sawa na niwe mlevi sana kuponya nafsi yangu maana siku za usoni naona kabisa nitashikwa na depression ili hali mimi bado ni kijana tuu wa watu

Naombeni mawili matatu ndugu zangu.

Asanteni.
Umetoa maelezo marefu lakini sijaona nia ya kupata au kutafuta mke, na kuna uwezekano mkubwa hizi harakati za kufanya mapenzi na wanawake umezianza ukiwa na umri mkubwa na sababu iliyokuchelewesha ni WOGA.
 
Hata mm sikuwahi kunywa pombe katika maisha yangu Leo hii nimekua mnywaji ilimradi nipate usingizi mnono sababu ya Hawa wapuuzi ...maana nahisi ntapata depression....Bora nijidunge TU vitu vikali Kwisha habari kuliko kumfikiria mtu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Pole bro! Hapo umekimbia depression na kwenda kutafuta matatizo ya afya yako kutokana na pombe, usiruhusu hilo.

Afya yako ni muhimu kushinda huyo anaekupa mawazo, jipende.
 
Mada zako huwa zinafurahisha ila ushausi tu achana na mapenzi kama huwezi kuachana nayo bas acha kulazimisha watu wakupende ndo naishia hapo mkuu
 
Weka bandiko huku la kuntafuta mke,na Instagram page nyingi tu Kuna wadada wanataka ndoa sijui unakwama wap
 
Jikite kwenye kufanya maendeleo .
A. Ya mazao
B. Ujenzi uwe unajenga nyumba zakupanga upangishe ikiwa mazao yako yapo shambani kwakuvunwa ila madawa yakulevya sio solution, kama huna nyumba jenga uishi poa kama huna gari nenda kanunue kadogo jaribu kujiingiza katika kujiwekea vitu vyako baadae Mungu atakuletea tu mke wako bora aisee wapo sema hajui unamtafuta mtafute mwanadada mmoja pimeni afya basi muwe wapenzi ukiwa busy umemshinda shetani . Ngoja nikupe mbinu ukiwa na wadada poa unapunguza heshima , utu na furaha yako uliyokuwa nayo
 
Jitulize kwanza utatue changamoto zako sio upeleke matatizo yako ya akili kwa mtoto wa watu. Ndo maana wanakukataa maana wanaona huna utulivu wa akili.
Nimejitahidi ila napwaya sana, mwanamke pekee ndiye anayeweza kiniweka sawa kwa sasa
 
Fanya kinachokufurahisha kama ni kutoka out, kumwagilia moyo, movie, mpira n.k kuhusu wanawake atakaeingia kwenye mfumo we chakata mbususu tu achana na mawazo ya kuoa. Mke wa kuoa atatokea tu katika mazingira na muda ambao haukutarajia.
Nimefanya mengi ya kunifurahisa ila naona kabisa nimepungukiwa moyoni mwangu..

Kweli nimepungua naona kabisa wakunijaza nafsi na moyo wangu ni mwanamke tuu..
 
Ndugu zangu.

Kwa masikitiko makubwa natarajia kuanza rasmi kununua dada poa na yote haya nikutokana na zoezi langu la kupata mke kuniwia vigumu sana kwani hakuna mwanamke ninayekutana naye nakuwa teyari kuolewa na mimi.

Sijawahi kununua dada poa mpaka nafikisha umri huu wa utu uzima na siku zote nilikua najiambia sitokaa kununua dada poa napia nilikua naona kufanya hivyo ni kukosea, nilikua napenda sana niwe na mke wangu hatakama atakua pasua kichwa ila tuu niwe na mke wangu , ila sasa naona ni heri nianze kununua dada poa japo sipendi ila itanibidi tuu.

Mabinti wengi nilionao kama wapenzi na wengine marafiki hawataki kabisa niwaoe wao wanapenda tuu mdate na mlane siku ziende japo mimi nataka kuoa ila ndiyo hivyo.

Nimejaribu sana kuangalia huku na huko pamoja na kuomba sana nipate mke ila naona kabisa maji yamenifika shingoni na huku ninakoelekea msongo wa mawazo wa kupata mke utanifanya nionekane kichaa bure mbele za jamii pamoja na kazini.

Ndugu zangu mimi kuiweka akili yangu sawa na kujisahaulisha hili swala la kuoa nimefikiria sana ninunue tuu madada poa pamoja na wadangaji,

nimefikiria niwe na urafiki na wanawake wa dangaji niwatoe hela na wanipe utelezi ,pia wakati mwingine niwe naenda sokoni kujichukulia dada poa na kupunguza msongo wa mawazo wa kupata mke unao nitesa akili na nafsi yangu.

Pia nafikira kurudia ulevi na natarajia kua mlevi wa pombe kali sana, madawa ya kulevya na mlevi wa wanawake kupita kiasi.

Pia nafikiria kupunguza kiwango cha imani nilicho nacho na niwe tuu mtu asiye na upande wowote,

Ndugu zangu haya ndiyo nimekaa nimetafakari naona kujipa furaha acha niingie katika huu ulimwengu mwingine labda nitarelax na yote haya ni kutokana na upweke wa nafsi nilionao ambao naona kabisa wakujazilisha nafsi yangu ni mwanamke pia upweke wa nafsi umekuwa ukinisimbua kila usiku na kila kukicha ndugu zangu.

Watalamu wa afya ya akili katika hospitali tatu za rufaa nilijaribu kuwaeleza kinacho nisibu na walinishauri fanya uoe utulie kama unaona mwanamke ndiye anayeweza kukutuliza ila nimejaribu kueleweka kwa wanawake lakini naona kabisa nina mkosi na hakuna anayetaka nimuoe.

Nimeomba sana nipate mke sasa nimekata tamaa naona naangamia kwa msongo wa mawazo bora tuu ni nunue dada poa labda nitakaa sawa na niwe mlevi sana kuponya nafsi yangu maana siku za usoni naona kabisa nitashikwa na depression ili hali mimi bado ni kijana tuu wa watu

Naombeni mawili matatu ndugu zangu.

Asanteni.
Usiue dhambi jitahidi.kumpa upendo.wa hali ya juu kaka yako pia naye atakupenda yawezekana mmemtenga na dhiki zake
 
Ukitumia madawa ..utapauka yaan utazeeka kabla ya umri wako kuna %kubwa utapata HIV na TB,kuna uwezo mkubwa wa figo kufeli yaaan kiufupi utapotee mapema...ushauri jaribu kujichanganya na watu nenda sehemu mbali mbali utapata tu..kuna wanawake wengi wanatak ndoa mbn
Hao wanawake wanaotaka kuolewa wako wapi mkuu.. nielekeze labda mimi nakutana na wasiotaka ndoa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom