Nataka kuagiza laptop nje ya nchi, je TRA na bandarini kuna ushuru?

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.
 
Sina details nzuri lakini nakumbuka kunajamaa yangu alinunua mashine ya photocopy ilipofika alibanwa na akalipa kodi
 
hakuna ushuru wowote ndugu.nafikiri serikali imefuta ushuru kwenye computer zote
 
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.

Pata official information kutoka TRA Kwanza Wapigie simu waulize?
Alafu utachanganya na majibu utakayopta hapa.
 
Hakuna ushuru baba...unatoa docs zako unakamata parcel yako..ila lazima wafungue box kuhakiki kilichomo
 
Computer zote hazilipiwi ushuru but ukiagiza monitor peke yake ujue ushuru unakuhusu ishanikuta niliagiza monitor wakaniambia ni TV ..nilichoka! maana walikomaa na mimi hadi basi ni kweli kuna monitor amabazo zina TV but hii niliifungua na kuwaonyesha mwanzo mwisho kuwa this is just a monitor kwani nilieleweka i was like speaking Chines na mndengeleko..
 
mimate ilikuwa inawatoka wanadhani una hela
 
kwahiyo nikiagiza laptop yangu kwa ebay ikifika hapa ni kuitoa tu, basi. sound good
 
Computer zote hazilipiwi ushuru but ukiagiza monitor peke yake ujue ushuru unakuhusu ishanikuta niliagiza monitor wakaniambia ni TV ..nilichoka! maana walikomaa na mimi hadi basi ni kweli kuna monitor amabazo zina TV but hii niliifungua na kuwaonyesha mwanzo mwisho kuwa this is just a monitor kwani nilieleweka i was like speaking Chines na mndengeleko..

Hizi monitor ziko wapi ? mbona na mimi nimechoka. ....

kuuliza si ujinga ebu nieleweshe au nipe link hapo kwenye bold hizo monitor zenye TV.......
 
Kwa mara nyingine tena napenda kuwashukuru wale wote ambao wamenishauri, nami nimefarijika sana angalau nimepata pa kuanzia, ngoja niwasiliane na TRA, kisha niagize nitawajuza pindi mzigo utakapokuwa umewasili kama kuna changamoto zozote nimekutana nazo.
 
Hizi monitor ziko wapi ? mbona na mimi nimechoka. ....

kuuliza si ujinga ebu nieleweshe au nipe link hapo kwenye bold hizo monitor zenye TV.......

Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'

hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
 
Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'

hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
you are right I was about to post the same answer.
 
Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'

hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani
Umenena na ndio siku hizi watu wanatumia wanapofanya presentations badala ya projector
 
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.
na hizo unazoziona kwenye Mitandao bei ni poa lakini baadhi ya mitandao mingine ni Feki unaweza kuibiwa mimi nipo nje ya Nchi ukitaka Laptop wasiliana na mimi naweza kukusaidia ikiwa utaniamini Ni P.M. ukiweza
 
Hizi monitor ziko wapi ? mbona na mimi nimechoka. ....

kuuliza si ujinga ebu nieleweshe au nipe link hapo kwenye bold hizo monitor zenye TV.......

Monitors > LCD 25" and Above
add.gif
Samsung P2770HD 27" LCD Monitor - 1080p, 1920x1080, 16:9, 5ms, 50000:1 Dynamic, 1000:1 Native, VGA, DVI, HDMI, TV Tuner

clearpixel.gif
S203-2704-main01-ec.jpg
[FONT=Helvetica, Arial][SIZE=+1]Detailed Description[/SIZE][/FONT]

Built-in HDTV Tuner

The P2770HD features a digital TV tuner and digital device support, so you can connect them to your computer, cable / satellite box, blu-ray player or gaming system. HDMI and 1080p support ensure the highest resolution possible.
16:9 Widescreen Display

06_more-space.gif

The P2770HD is wide enough to pull up two internet screens side by side. With excellent viewing angles, your eyes will move more easily across the screen. And with more space you can enjoy what’s there instead of wondering where it went.
Full HD Resolution

08_image-quality.gif

You’ll want to take a second look at Samsung's P2770HD. And a third and a fourth. At 1920 x 1080 full high definition resolution, this monitor delivers sharp, crystal clear images with vivid color.
Fast Response Time

05_movie-wide.gif

The only time you’ll see an image stretched or distorted on the P2770HD is when the director wants you to. With a 5ms response time, you'll have sharp motion without blur and a dynamic contrast ratio of 50,000:1 displays detailed lights and darks.
HD Multimedia Hub

2A_HDMI_70series.JPG

The High Definition Multimedia Interface™ (HDMI) connection makes your monitor a multimedia centerpiece and lets you easily and conveniently connect your other digital devices.
high sound quality

Picture1.jpg

Dolby Digital Plus, SRS TruSurround HD, 5.1 optical SPDIF out and integrated 3W x 2 stereo speakers bring every sound to life.

Display
Screen Size
Screen Size
LCD monitors are offered in a variety of sizes

27W
Brightness (Typical)
300 cd/m²
Contrast Ratio (Typical)
DC 50,000:1(1000:1)(Typ)
Resolution
Resolution
Screen resolution is measured in pixels, or picture elements.

1920x1080
Response Time (Typical)
5ms
Viewing Angle (Horizontal/Vertical)
170˚/160˚ (CR>10)
Color Support
16.7M
Signal input
Video Signal
Video Signal
Input signal that Monitor can get from devices such as PC, Audio, AV devices

Analog RGB, DVI, HDMI, Component , TV(Digital TV/Analog TV)
Sync. Signal
Sync. Signal
Type of sync that a monitor can support. Sync is seperated in both Horizontal and Vertical.

Separate H/V, Composite
Connector
Connector
D-Sub is a connector whose male end has a "D" shaped raised shield that protects the connecting pins. A D-Sub connector is usually a 15-pin or 9-pin connector with each pin corresponding to a different wire or signal within the cable. DVI-D is a digital connector that accepts DVI signal input from a computer. DVI-I is a digital connector on the monitor that accepts both DVI and analog signal input from a computer. A DVI-I connector provides interoperability with widespread current analog systems and the increasing number of computers with DVI compliant digital output.

D-sub, DVI-D, HDMI, Component, Composite, DTV Tuner, Optical Out, Audio In, Headphone Out
Power
Power Consumption
Power Consumption
The electrical energy over time that must be supplied to an electrical appliance to maintain its operation.

56W
Stand By Power (DPMS)
Stand By Power (DPMS)
(Display Power Management Signaling) An association that promotes the standardization of signals transmitted by computers in order to achieve less power expenditure by monitors.

< 2W
Type
Built-In
Features
Plug & Play
Plug & Play
Trouble-free installation of components to a computer. Samsung monitors support DDC1/2B or DDC 2B for Plug & Play compatibility.

DDC 2B
USB powered hub option
No
Mac compatibility
Yes
Multimedia Speakers
Multimedia Speakers
Sometimes Samsung offers optional speaker.

3Wx2CH (Dolby Digital, SRS trusurround HD)
Wall-Mount
Yes (100*100)
TCO
No
Cabinet Color
Rose Black
Optional Accessories
Optional Accessories
Any accessories included in the product packing box. E.g. User's manual, USB cable, Power Adaptor etc.

Remote Controller, HDMI Cable
Special Features
Special Features
Unique sales point of product. It can be design, technology or spec

Built-in DTV(ATSC) Tuner, Sound : Dolby digital, SRS trusurround HD . Optical digital sound (SPDIF) . Video(CVBS),Component, HDMI(V1.3), Supporting 1080P Input
Dimension
Product Dimension(With stand, WxHxD)
Product Dimension(With stand, WxHxD)
Product dimension with stand (Width x Height x Depth). Measured in milimeter

26.3" x 19.3" x 9.4"
Product Dimension (Without Stand, WxHxD)
26.3" x 16.6" x 2.6"
Shipment Dimension (WxHxD)
29.6" x 20" x 6.0"
Weight
Product Weight
Product Weight
The weight of product without packing. Measured in kilogram

18.1 lbs.
Shipment Weight
Shipment Weight
The weight of product with packing. Measured in kilogram

22.0 lbs.
Stand
Type
Simple
Function
Function
Function of stand. Tilt is basic and Height adjusting, Pivot & Swivel is optional one

Tilt(0 ~ 20)

clearpixel.gif
clearpixel.gif
Item Number: S203-2704
clearpixel.gif
clearpixel.gif
Model: P2770HD
clearpixel.gif
Availability: Usually ships within 0 - 28 Days

clearpixel.gif
List Price: $379.99 Instant Savings: - $30.00
clearpixel.gif
clearpixel.gif
Price: $349.99

Source: FRYS.com | SAMSUNG P2770HD

Source: monitor with tv tuner vs tv images - Google Search
clearpixel.gif
 
Nafikiri ni TV yenye uwezo wa kuwa kama computer monitor, na sio 'monitor yenye tv'

hizi flat screens nyingi zinauwezo huo..tembelea tu madukani

Yes Nakubalinaa na maelezo yako ndio maana niliuliza nikitataka tuwekane sawa

najua kuna TV screen zinaweza kutumika kama computer monitor. nyingi tu

Lakini kwa jinsi alivyonadika ni kwamba kuna computer monitor zinaweza kuwa kama TV .

Monitors > LCD 25" and Above
add.gif
Samsung P2770HD 27" LCD Monitor - 1080p, 1920x1080, 16:9, 5ms, 50000:1 Dynamic, 1000:1 Native, VGA, DVI, HDMI, TV Tuner.............

Mzizimkavu aksante sana lakini hizi zote ni TV na zinaweza kuwa computer monitor .hilo naelewa Nilichouliza na napenda kueleweshwa je kuna computer monitor inaweza kuwa TV kama alivyandika. ?
 
Wana JF naomba mwenye kujua, kama endapo nitaagiza laptop nje ya nchi kuna ushuru wowote TRA, bandarini au Airport, hofu yangu kubwa isije kuwa hizi laptop zinazo uzwa nje zikawa na ushuru kama wa magari. Kwa sababu kwenye mtandao naona zinauzwa bei poa sana, naogopa nisije lia kilio cha kusaga na meno pindi itakapokuwa imewasili bandarini au uwanja wa ndege. Mwenye ufahamu tafadhari anijuze. Natanguliza shukurani za dhati.

Mimi nimeingiza siyo mara moja wala mara mbili. HAZILIPIWI USHURU WOWOTE. Kama una mtu huko nje ya nchi mwombe akununulie na kukutumia kwa njia ya posta kupunguza gharama. Lakini ni rahisi endapo una mtu nje wa kununua halafu anakuja nayo au anakutumia labda kwa posta. Lakini ukinunua oline halafu haohao ulionunua kwao wakutumie gharama (ya shipping) inakuwa kubwa sana kama umenunua mbali kama vile Marekani. Je una mtu nje au unanunua mwenyewe online?
 
Computer zote hazilipiwi ushuru but ukiagiza monitor peke yake ujue ushuru unakuhusu ishanikuta niliagiza monitor wakaniambia ni TV ..nilichoka! maana walikomaa na mimi hadi basi ni kweli kuna monitor amabazo zina TV but hii niliifungua na kuwaonyesha mwanzo mwisho kuwa this is just a monitor kwani nilieleweka i was like speaking Chines na mndengeleko..

Mimi niliingiza Monitor ya computer hawakudai ushuru wowote
 
Back
Top Bottom