Natafuta wateja wa flakes /chenga au mchele wa plastic

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari wadau !!

Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui flakes

Sasa natafuta wateja wengines sijui nitawapata wapi km kuna mwenye connection please anipe location au namba ya mtu anaehitaji pia nimesikia hizi flakes naweza kuziuza nje ya nchi sijui utaratibu ukoje na nan na nan wanazihitaji uko nje ili niwasiliane nao kwa emails

Natanguliza shukrani za dhati
 
Heading na habari kamili mbona inanichanganya tu mkuu...🙄
Kwanza 'flakes" ni kitugani kwa kiswahili, maana miunanichanganya tu...🤔
 
hii dunia hii shida tupu mtu kashaambiwa flakes ata kugoogle hatak anataka aelezewe
 
Mkuu unapapasa gizani!? Unazama vipi mzima mzima kwenye business ambayo hujapata uhakika wa soko lake physically!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom