Natafuta Wafanyakazi wa shambani

Mar 18, 2015
51
0
Wana JF Shaloom,

Ninatafuta wafanyakazi wawili wa kudumu watakaokaa shambani na familia zao kwa ajili ya kazi mbalimbali na vibarua vya shambani. Malipo yataendana na kazi au vibarua watakavyofanya (Vibarua na kazi shambani ni nyingi sana). Nyumba ya kukaa ya familia na maji watapewa bure.

Mradi wa shamba na ufugaji uko Tabora Matenkini Kipalapala. Wahi Nafasi ni mbili tu.

SIFA:
1. Awe mwadilifu na mwaminifu

2. Awae ameoa au kuolewa anaweza kuwa na watoto maana shule ya msingi iko karibu

3. Asiwe mlevi kupindukia

4. Asiwe na pingamizi la kuhudumiaau kukaa karibu na nguruwe (Kiti moto)

4.Wenzi wote (mume na mke) wawe WACHAPAKAZI Kikwelikweli

Mawasiliano yote yafanywe kwa Namba hii: 0764 601903

KARIBUNI SANA
 
Back
Top Bottom