IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 743
- 350
- Thread starter
- #21
Dogo, Jitolee kupanda miti tatizo lenu wabongo mnataka viti vya
kuzunguka tu. Yuko Mzee mmoja anaishi Tabata, Shuka pale Jiandae
kituo kilichopo karibu na Kimanga mwisho, Mtaa wake unaitwa mtaa
wa mazingira, miti na usafi utakaouona hapo mtaani ni Juhudi zake
binafsi ni msomi na kaishi uingereza zaidi ya miaka kumi. Si unaomba ushauri
halafu ukishauriwa unalalamika!
Sijalalamika ila ushauri wako umeutoa kwa lengo la kukujeli....nadhani hata wewe unajua sio ishu hizo