Natafuta Suzuki Swift.

Hilipendo

Senior Member
Sep 13, 2011
188
97
Nipo Arusha na ninahitaji gari hilo. Lisiwe la mwaka nyuma ya 2004, na halijatembea zaidi ya kilometa laki 1. Nina Tsh 7mil. Mwenye muuzaji au anayejua muuzaji mwenye nalo ani PM
 
nenda image motors karibu na metropole! au tembelea autorec,picknbuy,etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom