Natafuta sumu au mtego wa paka pori

Sikia, ziba sehem zote zenye uwazi, na kwa makusudi acha upenyo mdogo sehemu moja au mbili, au pale alipozoea kupita muachie gepu kidogo tu.

Then mtegee kitanzi (sijui kama unajua kutengeneza hiyo kitu)

Weka kamba ngumu ambayo hawezi kukata kirahisi, namna ya kutegesha hicho kitanzi ndipo ufundi ulipo. Tegesha kwenye tundu, kamba iwe fupi ili akijitingisha tu kimtait.

Nimeua paka wengi sanaaaa enzi zangu kwa style hiyo, na baada ya kuwanasa nilikuwa nawapatia adhabu za kutisha.
 
Tafadhali unaweza kuchora kitanzi ili nijaribu kutengeneza? Kero na hasara ninayopata ni kubwa!
 
Back
Top Bottom