Natafuta sport body kit for toyota corolla any help?

The_Analyst

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
218
52
REF: TOYOTA COROLLA SPORT BODY KIT

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Kama kuna mtu anafahamu mahali hapa dar es salaam ninapoweza pata sport body kit kwaajili ya toyota corolla (Allex/Runx and Altezza) tafadhali sana niomba unipatie address.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu describe basi hiyo Sport Body kit

Kuna watu wanazijua kwa sura lakini hawajui hayo majina ya Kijapani

Kama vipi weka na Picha kurahisisha mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom