Natafuta simu - HTC Dream (T-mobile)

Kwanza Umeingilia tangazo la mtu, anzisha thread yako. Pili naona maelezo mareefu ya dada yangu aliniletea wakati mimi sina computer; huyo dada aliona zawadi ya kukuletea ni UPS wakati anajua hauna comp, au alilete vifaa vingine pamoja na hiyo na wewe ndy umeamua kuikwapua? Mwisho kabisa tafadhali weka picha ya dada pamoja na namba ya simu!

Amoeba umenichekesha sana ... duh
 
kwa pesa hiyo utaishia kupata kimeo,HTC from Taiwan ni kuanzia laki 4 na kuendelea(aina yeyote ya HTC Ina anzaia bei hiyo)
ila kama unataka HTC kutoka Shanghai hapo ndio vimeo vinapo anzia

Jamani, mbona mna mtizamo hasi na kila bidhaa ambayo inatengenezwa China? Mi nna HTC evo 3D from China na nimenunua around 700 USD, inapiga mzigo kuliko maelezo. Sio kila kitu toka China kipo low unless for those ambazo zipo exported mostly in Africa.
Ngoja nipate ashkirimu mara moja.
 
Bro mi ninayo ya kubetua ,ni screentouch ila imekatika mkanda,kuwaka inawaka.na mkanda wake niliambiwa mpaka china ndo nitaupata.imenishinda nimeweka ndani.kama unaweza kuifix tuelewane nikuuzie.nicheck on. 0652993219
 
Ora.naomba radhi jamani lilikuwa sio kusudi langu wakuu kuandika kwenye tangazo la mtu .ugeni taabu kweli.maisha kujifunza lakini nimejifunza Au sio.poa basi. tulia mi niondoke kwenye hii post mwenye tangazo naomba unisaidie kufuta post zangu zilizo baki huku.asante
 
Back
Top Bottom